Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hakuna timu yakwenda Cameron hapa..hata ikitokeo ikaenda huko ni aibu kubwa italikumba taifa

Kuna uzi nilicomment Taifa Stars haifuzu haya mashindano walinipopoa[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona utabiri unaenda kutimia, kocha mjuaji sana anaacha wachezaji wazuri anachukua wachezaji hata hawaeleweki.
 
rudini nyumbani tu...mbn mnajiamini hvyo?hahaa mm sifatiliagi mpira ila hapa nimekaa na mume anahema huyo...namwambia ukweli hakuna kitu Tz
Tuna toboa Cameroon lazima twende........ingawa na mm presha iko juu.
 
Nawazia mzee anavyoshika kipara kwa jinsi tunavyokoswa koswa au kosa kosa .maana kasema awangalia
 
Stars wanatakiwa hata wakibutua mipira iwe na malengo na si kubutua tu ili mradi mpira ueenda juu.

Mipira inapotea bure.
 
Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba wala msipoteze muda wenu Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.

Nimekereka sana kama siyo mno tu.
Kumbe tulishashinda banaaa...
 
Naona Hata Mchezo Umebadirika!

Wachezaji Wazuri Anao, Ila Kawakalia.

Tutaenda Mtafuna Uwanja Wa Nyerere Pale.Asiporudi na Nasafari Ya Cameroon
 
Kuna uzi nilicomment Taifa Stars haifuzu haya mashindano walinipopoa[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona utabiri unaenda kutimia, kocha mjuaji sana anaacha wachezaji wazuri anachukua wachezaji hata hawaeleweki.
Mpira ni Dakika Tisini usije kushangaa hao Mabeki wakapindua Matokeo😛😛😀
 
Sema tukitoA droo Mzee wetu inabid afanye ziara Uganda na sisi wa Tanzania [emoji1241] tunanza kumpambA M7 kwa nguvu zote kabisa ili wakija watuachie tupige tatu hafu tunafuvu
 
Jitu linapiga faulo straight anampasia mchezaji wa Lesotho dah tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom