Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

mbarika nilikuambia na kukuonya kuwa nilikuwa nimeshika ' Hirizi ' ili tusifungwe na nikakuambia naiachia na tunafungwa sasa hivi na hatimaye yametimia. GENTAMYCINE ni zaidi ya umjuavyo na muwe mnakuwa na adabu kwani hata Sisi pia tunahangaika na tumehangaika ila mnatudharau.
 
Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba usipoteze muda wako Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.
Tumeshalala...Huyu kocha anapanga kikosi dhaifu..!

Haiwezekani wachezaji wa aina moja watarajie kutupatia ushindi pale mbele..
 
Back
Top Bottom