mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Ungeutoa toka juzLabda coacher anasoma jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeutoa toka juzLabda coacher anasoma jf
Huyo fala aliyesababisha hiyo kona ni nani ?
Huyo fala aliyesababisha hiyo kona ni nani ?
Tumeshalala...Huyu kocha anapanga kikosi dhaifu..!Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba usipoteze muda wako Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.
Ubao unasomekaje wakuu?
Njoo huku msumbijYaani ni shida sana kuwa mtanzania.
😂😂😂😉😉🍺🍺🍺🍺Ovyo kabisa hawa.. Kusumbua watu tu
Umeniwahi.