Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Mpira bwana timu kibonde ndio inayoenda afu kiulaini kabisa..
 
Vumilia tu, usifanye kama yule dereva wa basi kule China

Nilimuonya kuwa nitaiachia hii ' Hirizi ' kwa hasira na tutafungwa akadhani GENTAMYCINE natania kumbe mwenzake nimemaanisha. Siku zingine muwe mnakuwa na adabu kwa Watu ambao haya mambo ya Ndumba / Tamaduni hasa za Mipirani tunaijua sana.
 
Tumepigwaaaa kijinga. Tubaki tu hapahapa tuendelee wachezaji kusifiwa kwenye magazeti na vijiweni. "Yanga yatangaza kikosi cha maangamizi" mara "simba yawatia tumbo joto waarabu wamisri" tukiingia kiwanjani ni mdebwedo mtupu afadhali wa urojo

Kwani ni sekta gani tunafanya vizuri? Labda kwenye kuimba na kujiimbia sifa za kijinga. Na ngono.
 
Kiukweli kuna makundi mawili yanayoshindanisha dua zao , moja linataka Taifa Stars ishinde lingine linataka ishindwe , katika nchi ya namna hii si rahisi kufanikiwa .

Baada ya Timu yetu kufungwa goli hakuna wananchi wanaosikitika , ni nini kimeikumba nchi hii ?
 
Mwenye ubao unaoonesha standing, atupie hapa
Huo hapo
Screenshot_20181118-184254.jpeg
 
Back
Top Bottom