Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vpYani tanzania aende afcon?
Vumilia tu, usifanye kama yule dereva wa basi kule China
Mpira bwana timu kibonde ndio inayoenda afu kiulaini kabisa..
Hiyo ni future impossible tense.Yani tanzania aende afcon?
Ha ha ha ha ingekua maajabuYani tanzania aende afcon?
alieturoga alitupatia sana...Hahahah
Tumepigwaaaa kijinga. Tubaki tu hapahapa tuendelee wachezaji kusifiwa kwenye magazeti na vijiweni. "Yanga yatangaza kikosi cha maangamizi" mara "simba yawatia tumbo joto waarabu wamisri" tukiingia kiwanjani ni mdebwedo mtupu afadhali wa urojo
Mkuu vp
KweliNasikia wamefugwa goli 1
Je hizi taarifa ni zakweli?
Eti Bocco yaani kutocheza hiyo game moja tu ndio tumekosa ushindi ? Chezaji limekakaamaa kama mlingoti ndio haohao tu hakuna kituHahahah
Huo hapoMwenye ubao unaoonesha standing, atupie hapa
Kwa nini atoe mpira mwepesi kabisa ule
Yani maajabu makubwa...uganda anakuja kutufunga hapa hapaHa ha ha ha ingekua maajabu