Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa unanilaumu mimi?Ndiyo tabia zenu fisi emu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unanilaumu mimi?Ndiyo tabia zenu fisi emu
Kweli kabisa takataka hiziAaaah,, rais awaweke mahabusu hawa ,
Ndio akili zake zimeishia pale..
Tushapakatwa😀😀😀😀
Ulikuwa Akilini Nami Nataka Nitoe Lakini Naona HalitawafaaKusema kweli sina tusi bays hapa la kuwatukana stars naona yote mazuri mazuri tu Ngoja niache tu.
Tumeshalala...Huyu kocha anapanga kikosi dhaifu..!
Haiwezekani wachezaji wa aina moja watarajie kutupatia ushindi pale mbele..
Mambo yangekuwa mswano kama Taifa Stars wangeshinda.Kwa nn
Kwakwel wanatumwa kazi afu wanaleta fyongo.Aaaah,, rais awaweke mahabusu hawa ,
Nilisema toka mwanzo timu iliyochaguliwa ni mbovu msishangae hayo matokeoTz 0 Leth 1
Ha ha ha kabisaLeo jiandae kukosa haki yako ya msingi kwenye ndoa hahaha unalala na kiu yako
Kwani ndo mechi ya mwishoTumeshindwa kwenda cameroon kirahis kabisa
Kwakwel wanatumwa kazi afu wanaleta fyongo.