Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Tanzania wanacheza kana kwamba hawataki kufunga goli la pili na hii inaweza kuwa the greatest mistake in football history!!
 
Tumeshalala...Huyu kocha anapanga kikosi dhaifu..!

Haiwezekani wachezaji wa aina moja watarajie kutupatia ushindi pale mbele..

Si huwa mnaniona GENTAMYCINE kama vile ' Chizi Fesh ' sasa kuanzia leo mtaniheshimu na kuzingatia yale ninayowaambieni.
 
Ni bora kutopita kuliko kwenda cameroon na kuwa kapu la magoli.
Nimejaribu kuwa positive ila nashindwa. Mpira mbovu kabisa.
 
Hii timu inakera kweli. Naacha kuangalia Xxx nasema ngoja leo nikae na simu nijaze Bando ya kutosha niangalie Taifa Stars, anashindwa kuokoa MB zangu zinaenda bure bure hivihivi kabisa?

Kwa nini msingeniambia nikomae na phonerotica muda huu ningekuwa namalizia episode ya 3 [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22].
 
Back
Top Bottom