Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Pombe aliwapa 50m akawaambia mkifungwa mtazitapika. Nasubiri wazitapike au waziharishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah @Gentamycin umefanya nn??
Watanzania wanaongea kwa mihemko tu,huyu mnaigeria hamna kitu tofauti na bichwa lake kubwa hakuna analojua,Kuna uzi nilicomment Taifa Stars haifuzu haya mashindano walinipopoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona utabiri unaenda kutimia, kocha mjuaji sana anaacha wachezaji wazuri anachukua wachezaji hata hawaeleweki.
Anatarget tupigwe kamoja tu. For him kipigo cha 1-0 ni bora zaidi kuliko 4-0 au 3-1timu imejaa wakabaji kuliko attacking minded players
Sawa
Nilikuonya mapema ukajifanya Kunitukana na Kunidhihaki nadhani sasa umeamini kile nilichokuambia. Huyo ' Mtalaam ' wangu kutoka Pemba huwa habahatishi na kuna ' Hirizi ' alinipa na masharti yake ila ' dharau ' zako ndizo zimenikera na nikaitupa na dakika tatu ( 3 ) baadae tukafungwa kama nilivyokuhakikishia. Ukome!
Kweli Itafaa.TUKABIDHI TIMU KWA WANAJESHI KAMA ALIVYOSEMA
Tz hakuna kikosi kazi yote magarasa tuAibu jamani,MTU unaacha kikosi kazi unapanga magalasa matupuuu mwisho Leo kushabikia timu ya Taifa
Tumeingia afcon mkuu.oyeeeeeeee