Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Daaah @Gentamycin umefanya nn??

Nilikuonya mapema ukajifanya Kunitukana na Kunidhihaki nadhani sasa umeamini kile nilichokuambia. Huyo ' Mtalaam ' wangu kutoka Pemba huwa habahatishi na kuna ' Hirizi ' alinipa na masharti yake ila ' dharau ' zako ndizo zimenikera na nikaitupa na dakika tatu ( 3 ) baadae tukafungwa kama nilivyokuhakikishia. Ukome!
 
Hata kama tumefuzu lakini timu ya Taifa ni lazima iwe ya jeshi!(kwa sauti ya jiwe)[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna uzi nilicomment Taifa Stars haifuzu haya mashindano walinipopoa[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona utabiri unaenda kutimia, kocha mjuaji sana anaacha wachezaji wazuri anachukua wachezaji hata hawaeleweki.
Watanzania wanaongea kwa mihemko tu,huyu mnaigeria hamna kitu tofauti na bichwa lake kubwa hakuna analojua,

Ngoja niendelee kugonga safari zangu hapa
 
Haya Rudini Mkavune Korosho

Tena Hawa Raisi Kawapeleke Ntwara Kabisaa...Nahisi Ndo Watakachoweza.
 
ni vizuri kwenda afcon angalau mna kakiwango ka kuridhisha.
sio kila timu inaombea mpangwe nayo kundi moja ili ipate mtelemko.
 
Nilikuonya mapema ukajifanya Kunitukana na Kunidhihaki nadhani sasa umeamini kile nilichokuambia. Huyo ' Mtalaam ' wangu kutoka Pemba huwa habahatishi na kuna ' Hirizi ' alinipa na masharti yake ila ' dharau ' zako ndizo zimenikera na nikaitupa na dakika tatu ( 3 ) baadae tukafungwa kama nilivyokuhakikishia. Ukome!
Sawa
 
Bora tumefungwa...

Haya turudi EU tukamalizane nao.

Kelele zilikuwa nyingi sana.
 
Hii timu inatakiwa ikafanye kazi za kijamii pamoja na kazi ngumu ili kuleta uzalendo. Hawatambui thamani ya jezi walizozivaa vifuani mwao.
Hawatambui namna gani Watanzania wanaipenda na wanaumia kwa timu yao.
Hawatambui nini kinahitajika katika wakati muafaka.
Na mwisho kabisa hawatambui kama wao ni Mabalozi katika nyanja ya michezo.
Natamani wakabangue korosho badala ya jeshi letu. Inauma sana kushabikia Tanzania.
 
Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!
 
Back
Top Bottom