Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Toa maoni yako kuhusu kikosi cha leo na kile kilichoifunga cape verde
Players walitawaliwa na mfumo mbovu ,,defender Leo kacheza winga,upange kikosi bila washambuliaji utarajie kutoboa.
 
Wapumbavu tu wale wanastahili heshima gani kama wao wameshindwa kutuletea heshima?

Wanatufanya tuamini kama tuna laana wakati ni uzembe wao tumewapa nafasi wao watu 11 watuwakilishe wao wanambwela mbwela tu. Nina hasira sana leo.
 
Leo naweka mkeka wa elfu 10 namuua stars ili akipigwa niwe nimepata hela ya kupozea machungu ya kuloose.
Nikoshinda napoteza hela lakini nakuwa nafuraha ya stars kushinda.

Kwahio leo ni ushindi tu hata kama stars ikipigwa
Dah we jamaa noma sanaa
 
Watanzania tunashikilia rekodi ya dunia katika umbea na roho mbaya...,huko kwingine tunapoteza muda na Mali tu
 
Wachezaji wanacheza kama magasho hamna kitu wapuuzi tu wale....kama kacho anazingus ingieni uwanjani chezeni wenyewe kwa uwezo
 
Sijawahi kuona yondani haiongei kwenye mechi... Ila leo hakuongea hata kidogo... Na hii nina uhakika kabisa ni kutokana na jinsi kikosi kilivyopangwa... Hakupangwa na watu anaoelewana nao.. na alishajikatia tamaa tangu mwanzo... Kocha ni fala sana... Kama vipi asirudi huku TZA
Leo Taifa stars inacheza kwa hofu huku wakiwa hawaelewani uwanjani. Kwa mchezo huu lazima wanawaza watazitoa wapi M50 wazirejeshe kwa walipa Kodi?

Poleni Taifa stars poleni Watanzania lakini pia tujifunze kuvumiliana katika machungu tunayopitia
 
Hii team ikipata mkono au dalili za kupata mkono wa magufuli tu tunapigwa cape Verde mbwembwe za kutoa ndege tukachezea tukarudi bongo tukacheza nao kimya kimya bila mbwembwe tukashinda tukaanza mipango ya kwenda Lesotho jamaa akatia mbwembwe akatoa ml50 ili azime issue ya MO mara mwakyembe nae akaenda Lesotho na mibendere kama yote mwisho wa siku yametokea haya na bora Uganda aje atufunge tu maana utasikia jiwe ndo kaisaidia team kushiriki hii michuano bungeni watasitisha vitu vya msingi wampongeze mzee
 
Back
Top Bottom