nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
-sifa kuu ya wapinzani wa jiwe ni ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pale itakopeanda world cup utanitag.Nitaanza rasmi kuishabikia hii timu mpaka pale itakapoenda world cup sijui mwaka gani?? Vipi upande wako??
Players walitawaliwa na mfumo mbovu ,,defender Leo kacheza winga,upange kikosi bila washambuliaji utarajie kutoboa.Toa maoni yako kuhusu kikosi cha leo na kile kilichoifunga cape verde
Mkuu natoka kulala hapa eti nasikia KICHWA kimeshinda vipi kuna ukweli wowote?Hapo hawataenea.
Wataenda kwa kivuko cha MV Bagamoyo kilipo kwa wajeda
HahaNilisema hapa before kabisa huyu MJINGA kashaijambia hii mechi ona sasa...
Bora haijashinda ***** mana wangetumia kama mtaji wa kisiasa kusema kama Pombe ndo kaifanya timu ifuzu fainali...
Good!
Dah we jamaa noma sanaaLeo naweka mkeka wa elfu 10 namuua stars ili akipigwa niwe nimepata hela ya kupozea machungu ya kuloose.
Nikoshinda napoteza hela lakini nakuwa nafuraha ya stars kushinda.
Kwahio leo ni ushindi tu hata kama stars ikipigwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu natoka kulala hapa eti nasikia KICHWA kimeshinda vipi kuna ukweli wowote?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Gundu tayari.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119]Hawashindi tena ...jamaa KASHAJAMBIA hiyo mechi! Nuksi tayari
Leo Taifa stars inacheza kwa hofu huku wakiwa hawaelewani uwanjani. Kwa mchezo huu lazima wanawaza watazitoa wapi M50 wazirejeshe kwa walipa Kodi?
Poleni Taifa stars poleni Watanzania lakini pia tujifunze kuvumiliana katika machungu tunayopitia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gundu tayari.