Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza eti Leo anawapa kikosi cha Kwanzaa Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude kocha na washauri wake ni tatizo Makosa Yale yale ugenini
 
Huwa tunawasababishia pressure wachezaji wetu.
Ikulu tuliwapeleka kufanya nini ? Mwakyembe amegeuka kuwa msemaji wa TFF.
Vijana walikuwa na pressure yaushindi ili waende bungeni na ikulu kula pizza.
 
Mkuu usinikumbushe haya machungu. Yaani timu ya lethoto ni ya kawaida sana. Ila kocha na hao wajinga wwngine wa benchi la ufundi ndio wametufikisha hapa
Alafu inawezekana vip mchezaji mzuri akabaki kuchezea timu kama lipuli, singina coastal etc alafu simba au yanga wasimsajili? Wachezaji wazuri wapo simba na yanga haina mjadala.
 
Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza eti Leo anawapa kikosi cha Kwanzaa Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude kocha na washauri wake ni tatizo Makosa Yale yale ugenini
Kabisa ni ukweli mtupu
 
Taifa Stars ingeshinda ungekua msiba mzito sana kwa vijana wa Serengeti. Ukimsoma mtoa post nafikiri utapata picha ni Upinzan wa aina gani upo Tanzania.
 
Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza eti Leo anawapa kikosi cha Kwanzaa Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude
 
Bora tumefungwa. Maana kuna watu wangeanza kuwa jiwe kaipeleka timu cameroon.
Tutulia sasa. Ila jiwe anaweza kumpigia simu mu7 amwambie uganda aachie tumfunge march
 
Huwa tunawasababishia pressure wachezaji wetu.
Ikulu tuliwapeleka kufanya nini ? Mwakyembe amegeuka kuwa msemaji wa TFF.
Vijana walikuwa na pressure yaushindi ili waende bungeni na ikulu kula pizza.
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.
Kuitwa Ikulu sio kitu kirahisi kama kuandika kwenye Keyboard,ilikuwa lazima Rais aonyeshe mategemeo ya nchi na ndo maana akatoa motisha.
 
Kulikuwa Hakuna haha ya kuwaanzisha sonso na sebo Rena up and eat WA ulinzi Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza. Leo anawapa kikosi cha Kwanza. Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude.kweli kamerooon hyo tunaiona kwa macho
 
Iliwapa pressure kubwa sana ambayo ilikuwa unnecessary
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.
Kuitwa Ikulu sio kitu kirahisi kama kuandika kwenye Keyboard,ilikuwa lazima Rais aonyeshe mategemeo ya nchi na ndo maana akatoa motisha.
 
Kulipigania taifa hakuihitaji motisha ya rais.
Kunahitaji kujua wajibu wako tu kama raia wa nchi husika.
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.
Kuitwa Ikulu sio kitu kirahisi kama kuandika kwenye Keyboard,ilikuwa lazima Rais aonyeshe mategemeo ya nchi na ndo maana akatoa motisha.
 
Taifa stars ni Shipa.. Debe likilia tu lazima ujishike kunako.
 
Back
Top Bottom