Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha inaye tena mzuri tu sema vijana walikuwa na pressure kubwa sanaStars haina kocha
Bibi nilikukumbuka sana.= shot
Alafu inawezekana vip mchezaji mzuri akabaki kuchezea timu kama lipuli, singina coastal etc alafu simba au yanga wasimsajili? Wachezaji wazuri wapo simba na yanga haina mjadala.Mkuu usinikumbushe haya machungu. Yaani timu ya lethoto ni ya kawaida sana. Ila kocha na hao wajinga wwngine wa benchi la ufundi ndio wametufikisha hapa
Kabisa ni ukweli mtupuSonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza eti Leo anawapa kikosi cha Kwanzaa Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude kocha na washauri wake ni tatizo Makosa Yale yale ugenini
hawa wamekosa somo la uzalendo..
typically inafaa wapelekwe kwa hiari kule jkt
tena wakabangue na korosho za Ntwara kwa kujitolea
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.Huwa tunawasababishia pressure wachezaji wetu.
Ikulu tuliwapeleka kufanya nini ? Mwakyembe amegeuka kuwa msemaji wa TFF.
Vijana walikuwa na pressure yaushindi ili waende bungeni na ikulu kula pizza.
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.
Kuitwa Ikulu sio kitu kirahisi kama kuandika kwenye Keyboard,ilikuwa lazima Rais aonyeshe mategemeo ya nchi na ndo maana akatoa motisha.
Ile ilikuwa motisha ya vijana kujua jukumu lao lililokuwepo mbele yao na kujua WaTanzania tuna mategemeo gani juu yao.
Kuitwa Ikulu sio kitu kirahisi kama kuandika kwenye Keyboard,ilikuwa lazima Rais aonyeshe mategemeo ya nchi na ndo maana akatoa motisha.