Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Mkuu mi nilikuwa nafuatilia streaming youtube live account ya bongo zozo,bongo zozo alipiga kelele Samataaaa ,samata akageuka akacheka na mpira ukapotea,bongo zozo akasema mnaona nimemwita samata kageuka hadi kacheka sijaona star mkubwa anakusikia anageuka,samata layupo serious
Yeah anajituma anapambana kwa jasho na damu,Samata anapoteza mpira then anacheka na kutembea kifaza
 
Kazingua sana tangu first game ya Eq Guinea hapa,akatetewatetewa na media, ila sasa hali yenyewe imebaki vile vile
 
Utakuwa unakaa Mbagala
 
Umejaa chuki na wivu tu... Huna lolote.

Mane anavyiichezea timu yake ya taifa in sawa na anapokuwa Liver. !?
 
To a ujinga wako usimlinganishe MTU aliyefikia kiwango cha kuwa mchezaji bora kwa wachezaji wanaocheza Africa na mchezaji wa kawaida ambaye team yake club bingwa Africa imeshindwa kabisa kwenda . unataka avunjike ndio utoe pole zisizo na msaada ?wewe na wenzako ndio mnao mlaumu Messi,salah wakiwa team za taifa mnataka wacheze mpaka waumie ndio mtambue michango yao.
 
Asiyekuelewa abaki na ukilaza wake

Kwakweli ukiangalia ari na jinsi ambavyo S. Msuva anajitoa, anakimbia, anaangushwa na anavyopambania nchi yake huwezi kumfananisha na huyu mtoto aliyekwishajazwa sifa.

Samatta ni wazi kabisa akijaga bongo hapambani kama striker, anacheza kwa uoga wa kuumia.

Ni kama hana uchungu na taifa lake.

Kwishney
 
Ungesikia maelezo ya kiufundi ya kocha ungeelewa kwanini samata anacheza hivyo anavyocheza.
 
Kuna haja ya V.A.R kutumika kwenye haya mashindano! Ile penati refa katuua
 
Sijawahi kugeuza neno langu kisa halimpendezi mtu.

Liwe jema au baya kwako kwangu limetoka bila unafiki.
 
Umejaa chuki na wivu tu... Huna lolote.

Mane anavyiichezea timu yake ya taifa in sawa na anapokuwa Liver. !?
Hivyohivyo kwako pia umejaa chuki na wivu kuchukia kile nachoamini.

Unataka tuwe PT. (Praise Team) piga mapambio mwenyewe sitaki kuwa kwenye kwaya yenu.
 
Usianzishe ligi nyingine mzee...suburi kukuche ukabishane vkaoni huko...
For now wacha tuombee ushindi.
ipo siku ndio mtajua kuwa msuva anamchango mkubwa kwa taifa kuliko huyu jamaaa samata
 
Narudia tena

Msuva 1=Samata 2 najua wengi watakataa ila linapokuja swala la kupambana asee msuva weka mbali na watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…