Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Umemaliza kila kitu mkuu
 
Yeah anajituma anapambana kwa jasho na damu,Samata anapoteza mpira then anacheka na kutembea kifaza
Kweli inakera Sana kuona wengine wote uwanjani wanapush kupata matokeo halafu yeye anatembea Tu uwanjani na mpira akipewa anauchezea chezea anaupoteza halafu anatembea kawaida tu,Hana haraka,uchungu na timu wala hajitumi kuutafuta mpira kama anavyofanya Genk! Mbaya Sana aisee... Samatta nchi yako lakini kama umekodiwa?
 
Ila na yule mwamuzi mpumbavu wa Malawi hastahili kabisa kuchezesha Afcon! Yaani mpira umegonga goti, halafu anaweka tuta!

Samatta kama nahodha akashindwa kabisa kwenda kumparamia! Bora angepewa hata kadi ya njano kwa kwenda kumuambia ukweli.
Kwa upande wangu/kwamacho yangu mimi naona refa alikua fea sana kwa upande wetu sema ile penaelt tu ndio iliyomtia doa
 
Nilimdharau Samata pale alipohojiwa kuelekea AFCON akasema ni juhudi za awamu ya 5.
 
Nilimdharau Samata pale alipohojiwa kuelekea AFCON akasema ni juhudi za awamu ya 5.
2021 AFCON Tanzania haiendi ng'o mechi za away anapigwa zote, za nyumbani atashinda mbili tu Tunisia anakuja kumkalisha hapahapa
 
Narudia tena

Msuva 1=Samata 2 najua wengi watakataa ila linapokuja swala la kupambana asee msuva weka mbali na watoto.
Wewe endelea kujidunisha akili Samata ndie godfather wa soka la Tanzania toka miaka ya 1970 ulishasikia mchezaji kutoka Tanzania amecheza uefa champions league ? Umeshasikia mchezaji kutoka Tanzania kawa mfungaji bora club bingwa Africa ?umeshasikia mchezaji kutoka Tanzania kabeba tuzo ya mchezaji bora wa Africa mashindano ya ndani? Chukua hii mpaka kufikia mwaka 3000 na kuendelea kuna Samata mmoja tu ,usilinganishe Samata na wachezaji wa kawaida
 
Kama ukiangalia lile holi alopiga msuva uwwnja wa taifa dhid ya guinea
Kapinduka nusura kuumia Ila sio samatta asingejisumbua vile
Nadhan samatta haifikii hadhi ya msingi .....ila msuva anastahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…