Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
SawaHakuna hawa leo wanakaa nakwambia
Nimesema link sio ChanelChek zbc2
Hao leo wanakufa hatutaki utani sisi eboooVijana wetu wanacheza kwa nguvu sana. Jihad kabsaa
Ujinga wa walibya uliochochewa na hila, uzandiki na ghiliba za mabeberuLeo hii Libya hawawezi hata kuchezea kwenye ardhi yao!!
Weka link mzeeView attachment 1267072
Hao jamaa wanaonyesha. Angalia hiyo penati!
Asante sana mkuu kwa updateTanzania anaongoza 1
Kipindi cha kwanza ndio kimebeba majibu yote, tusikilizie kikiisha tutaweza kubashiri majibu sahihiHakuna hawa leo wanakaa nakwambia
Uchochezi ni kitu kibaya sana mkuu, inasikitisha sana kuona hili kwa kweli.Leo hii Libya hawawezi hata kuchezea kwenye ardhi yao!!
Ni kweli mkuu ngoja tuoneKipindi cha kwanza ndio kimebeba majibu yote, tusikilizie kikiisha tutaweza kubashiri majibu sahihi
Yaani wanamkumbuka Khadafi.Uchochezi ni kitu kibaya sana mkuu, inasikitisha sana kuona hili kwa kweli.