Kugoma kula wakati chakula kinapatikana ni kosa kisheria!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
⚖️ MWABUKUSI: KUGOMA KULA MAHABUSU NI KOSA KISHERIA

“Kugoma kula wakati chakula kinapatikana mahabusu ni kosa kisheria chini ya Kifungu cha 123 cha Makosa ya Uhaini.” — Adv. Mwabukusi, Rais wa TLS.

📌 Kauli hii yazua mjadala kuhusu haki na wajibu wa wafungwa na mahabusu.

🔜Kuuzuia mwili usipate chakula ingalipo chakula kinapatikana ni kosa la kutaka kudhuru mwili.
 
FAKE NEWS kutoka kwa MAFISIEMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…