Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Taifa linawaheshimu waganga wa kienyeji kama yule mzee wa kikombe kule Loliondo
 
Kuhani tena? Padri haitoshi?
 
Hawa waganga njaa tu kwanini hawafanyi miujiza
  1. Nchi ikajitambua
  2. Tukaondokana na utegemezi
  3. Wao wakawa donnors badala ya kuwa recepients wa sadaka
  4. Tukaondokana na magonjwa
 
Namuona Mpango kama kachefuliwa hivi.
 
Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
Ukiwa na pesa na umaarufu unakaa siti ya mbele
 
Ndo nani huyo huko Dasilamu? Sisi wa huku Tandahimba hatumjui
 
Ndiyoooooh! Amiiiiiina! Maubiri yake yana vionjo vyaujanja flani ila kiukweli hajaiva vyema kiufundishaji.
Kukutana tuu na rais siyo habari yakuleta humu,Sasa mtoa mada unataka tujadili Nini??
 
Huyu Kuhani Mussa anatakua amepata info zooote za mama hapo. Maana kansan kwake hata uje na hirizi atakuinua tu
 
naona HAWAJASHIKANA MIKONO pili Wanaangaliana sana machoni haponi mwendo wa kusomana tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…