Watu wanapenda tu kubisha,ila tuliopata neema na kibali Huwa tunapiga tu Amina ya radi....Tunamtukuza Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliyehaiBaadhi yetu hubeza, lakini binafsi niliponywa..., sometime haya mambo hutusaidia sana pale ambapo tunakuwa tumetafuta suluhu na kushindwa kujua tufanyaje?
Barikiwa Joannah
Atukuzwe Yesu Kristokweli vile hawana cha hela bwana, ukiwa na imani kuna vitu utaona na majibu ya mambo yako mengi utaona.
Mimi napambana na Moja,..Umenunua nguzo ngapi kwenye mjengo wake?
kama uko dar acha uvivu maelekezo hapo juu ni namba toshaWeka namba yake, tukqmsalimir
hizo ni machaguo ya wanaadam kwa kulainisha maandiko kiuhalisia haiko hivyo anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga ndio maana nawakubali ndugu zetu waislam wao nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Acheni kupenda kuficha vichaka vya uhaini kwa mungu kwamba anapenda na kusamehe wote ili muendelee kutenda dhambi ama kuthuru ukijua utatubu.Pale Sinza lion niliamua kuondoka kwan nilipata mafunuo JINA LA YESU SI KWA AJILI YA KUUWA BALI kuokoa, sasa pale kwa Kuhani mchawi wako asipoacha anakufa eti....sasa unauwaje kwa jina la YESU?
Pili: Je MUNGU anawachukia wachawi kiasi kwamba hataki waishi.....kwamba usimwache mwanamke mchawi aishiii...je mwanaume mchawi....haya ni mambo ya AGANO LA KALE, MUNGU anatupenda sote mchawi, mwizi, mrozari, mlokole ndio maana hatubaguni wooote anatulisha na kutunyeshea mvua
mimi nlichangia kwenye ujenzi wa kile choo cha ghorofa na najipanga tena kufanya jambo kwenye hili kanisa linalonyanyuka kabla halijaisha.Umenunua nguzo ngapi kwenye mjengo wake?
Amen. Nami ni member wa Ngomeni.Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
Amina ya radiii.Amen. Nami ni member wa Ngomeni.
P
Kwa hiyo unafikiri MUNGU anawachukia wachawi? aliwahi kukupa wewe chakula akawanyima wachawi?Mchawi si wa kumuacha aishi, "yaelekea hili limekukera sana"
-sasa hapa umetupa quiz 🔛
Kanuni za MUNGU si kama za wanadam.....ndio maana umezungumzia uislam ambao siujui kiundani, ila ukristo hakuna mahala jina la YESU limetumika kuuwa bali limetuka kuokoa, wakristo kiongozi wetu ni YESU na ndiye aliyekataa kuhukumu na ndiye aliyewaonya wanafunzi wake wasitende kama Elia kuagiza moto mbinguni kuteketeza mabaali Luka 9:54-56 kama sijakoseahizo ni machaguo ya wanaadam kwa kulainisha maandiko kiuhalisia haiko hivyo anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga ndio maana nawakubali ndugu zetu waislam wao nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Acheni kupenda kuficha vichaka vya uhaini kwa mungu kwamba anapenda na kusamehe wote ili muendelee kutenda dhambi ama kuthuru ukijua utatubu.
Kwani Kuhani ndonkitu gani?Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
Agano jipya pia hawakucheka na wachawi waliwaonyesha cha mtema kuniKwa hiyo unafikiri MUNGU anawachukia wachawi? aliwahi kukupa wewe chakula akawanyima wachawi?
Luka 9:54
Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]? ----kumbuka Elia aliita moto ukawateketeza mabaali
Luka 9:55
Akawageukia, akawakanya. [Akasema, Hamjui ni roho ya namna gani mliyo nayo.]
Luka 9:56
Kwa maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za watu, bali kuziokoa. Wakaondoka wakaenda mpaka kijiji kingine
UKISOMA HAPO HILO NI AGANO JIPYA UTAELEWA KUWA SI SAHIHI KUTUMIA JINA LA YESU KUUWA
kwa sababu wameshachenjua hio bilbilia wakuwekea wanachotaka unjue na kile kinachokinzana na mipango yao wakakitoa. Je ni kwanini kuna vitabu vya injili vimeondolewa vingi kwenye bibilia? najua hili swali umeshawahi kutana nalo zipo zilizokuwa zinaonya kwa ukali na kukataza na kuweka wazi baadhiya mambo ndipo wakavitoa.Kanuni za MUNGU si kama za wanadam.....ndio maana umezungumzia uislam ambao siujui kiundani, ila ukristo hakuna mahala jina la YESU limetumika kuuwa bali limetuka kuokoa, wakristo kiongozi wetu ni YESU na ndiye aliyekataa kuhukumu na ndiye aliyewaonya wanafunzi wake wasitende kama Elia kuagiza moto mbinguni kuteketeza mabaali Luka 9:54-56 kama sijakosea
wewe hizo stori za kijiwe, ni nin kilichoondolewa kwenye biblia?kwa sababu wameshachenjua hio bilbilia wakuwekea wanachotaka unjue na kile kinachokinzana na mipango yao wakakitoa. Je ni kwanini kuna vitabu vya injili vimeondolewa vingi kwenye bibilia? najua hili swali umeshawahi kutana nalo zipo zilizokuwa zinaonya kwa ukali na kukataza na kuweka wazi baadhiya mambo ndipo wakavitoa.
Na je kwenye kitabu cha daniel pale mwisho kimetoa onyo gani? mtu uipunguze wala kuongeza neno katika hio biblia wao walipata wapi hio ruksa ya kubadilisha baadhi ya vitabu na maandiko?.
Kaka elewa dira ya mkristo ni YESU KRISTO....mfano MUSA aliruhusu kuoa zaidi ya mmoja je YESU hakukataa? tusimame na MUSA au YESU....YESU alikuja kukamilisha torati....Clearing up misconceptionAgano jipya pia hawakucheka na wachawi waliwaonyesha cha mtema kuni
Matendo 13:8-11
"Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani.
9 Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,
10 akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?
11 Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza."
Mwisho wa kunukuu
Huyo mchawi alikuja kanisani mzima akapigwa upofu baada ya kuleta mambo ya kichawi kanisani
Ikulu sidhani ni pahala pa kujipendekeza, ukimuona mtu ikulu ujue kahitajika akaitwa.Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.