Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Mfuatilie, utamjua! Sijawahi kufika kwenye ibada yake yoyote ila nimezungukwa na waliokua wana husudu ibada zake ambao mpaka dk hii hawataki hata kusikia hilo jina lake, ni wahanga wa matukio tata hapo kanisani kwake.

Shuhuda za kutengeneza, kuumiza na kusambaratisha nyumba na familia za watu, amedhalilisha watu wengi, kuna mmoja kesha attempt kujiua mara kadhaa kwa kuto amini kilicho mtokea hapo kanisani, na hamna pakumshtaki
 
Kama wewe ni muumini wake au mtu wake wa karibu kaa kwa kutulia utatibua watu humu mtabaki uchi wa mnyama
 
Kuna mama mmoja alishauriwa na madaktari yeye hata weza zaa bila operation , uzazi wa nyuma kajifungua watoto wawili wote ni operation .

Uzazi wa tatu kakutana na nabii kichaa , kapiga sala kamwabia utajifungua bila operation kwa jina la Mungu wa nabii.

Siku ya uchungu mama kaja labour kujifungua wanataka mfanyia operation kakomaa na maoni ya nabii kusukuma mtoto kwa njia ya asili .

Mwisho kabisa walifanya maamuzi ya kuokoa mtoto na kumpoteza mama baada ya mambo kuwa magumu, ila mwanzoni mama angekua na nafasi ya yeye kuishi na mtoto pia.
 
Watakaojaribu kupingana na Mwenyezi Mungu moto watauona
 
Utamuombeaje mtu ambaye hataki ukweli?mara aseme ameziba masikio mara atumie vyombo vya dola kuwakamata wanaomwabia ukweli?Mtu ambaye hataki ukweli yawezekana kawekwa kwenye nafas hiyo na shetani
 
Kama wewe ni muumini wake au mtu wake wa karibu kaa kwa kutulia utatibua watu humu mtabaki uchi wa mnyama

Hamna unaloweza fanya
Hakuna anayekuogopa wala kuogopa lolote
Huna neno jipya unaloweza sema yote yalishasemwa
 

Rafiki yako alitengenezwa akalipwa sh ngapiπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mkuu nimefatilia comments zako Una kitu kikubwa sana heshima kwako
 
Wanaopata uongozi kupitia kwa waganga wa kienyeji nao ni Mungu amewaweka?
 
Ukweli ni kwamba shetani ndio Mungu wa Dunia hii na ndiye anayeweka watu mamlakani, ndio mana matunda wanayozaa ni yakishetani shetani kama haya huyu bibi kizee. Mkataba wa bandari unadhihirisha wanayemtumikia.
 
Mambo ya agano la kale na waisrael we mbona huelewi?
 
Ukweli ni kwamba shetani ndio Mungu wa Dunia hii na ndiye anayeweka watu mamlakani, ndio mana matunda wanayozaa ni yakishetani shetani kama haya huyu bibi kizee. Mkataba wa bandari unadhihirisha wanayemtumikia.

Wewe unaishi kwa nguvu za shetani mungu wa dunia!!!?? Au kwa nguvu za Mungu mwenye enzi muumba wa mbingu na dunia???

Badala ya kutukana na kupandwa hasira Muombe Mungu wako afanye jambo kubadili ubaya unaokukera. Huo ndio ushauri wa Kuhani Musa

Ukumbuke pia kwamba vigezo na masharti ya maombi kutibiwa vitazingatiwa.
 
Baada ya kufufika yesu akawa kuhani mkuu, na wote waliompokea wakawa makuhani wa sifa ksb ni Wana wa kuhani mkuu

Kwa maana ingine Sisi tunaitwa kwa jina lake kuendeleza kazi yake tuu makuhani
 
Kwanza avue hayo Mavazi ya Mapadri wa kikatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…