Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Ramli changanishi kivipi

Rais ni amiri jeshi mkuu, yuko kwenye kiti tayari
Kama wewe una imani kwa Mungu muombe hicho unachotamani kukiona kwa rais. Au mna dini msizoziamini??
Ukimjua Mungu wako na nguvu zake hutalalamika wala kukasirika!! Utaomba!
Mfuatilie, utamjua! Sijawahi kufika kwenye ibada yake yoyote ila nimezungukwa na waliokua wana husudu ibada zake ambao mpaka dk hii hawataki hata kusikia hilo jina lake, ni wahanga wa matukio tata hapo kanisani kwake.

Shuhuda za kutengeneza, kuumiza na kusambaratisha nyumba na familia za watu, amedhalilisha watu wengi, kuna mmoja kesha attempt kujiua mara kadhaa kwa kuto amini kilicho mtokea hapo kanisani, na hamna pakumshtaki
 
Kama wewe ni muumini wake au mtu wake wa karibu kaa kwa kutulia utatibua watu humu mtabaki uchi wa mnyama
 
Kuna mama mmoja alishauriwa na madaktari yeye hata weza zaa bila operation , uzazi wa nyuma kajifungua watoto wawili wote ni operation .

Uzazi wa tatu kakutana na nabii kichaa , kapiga sala kamwabia utajifungua bila operation kwa jina la Mungu wa nabii.

Siku ya uchungu mama kaja labour kujifungua wanataka mfanyia operation kakomaa na maoni ya nabii kusukuma mtoto kwa njia ya asili .

Mwisho kabisa walifanya maamuzi ya kuokoa mtoto na kumpoteza mama baada ya mambo kuwa magumu, ila mwanzoni mama angekua na nafasi ya yeye kuishi na mtoto pia.
 
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......

Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?

Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale

View attachment 2691266

Tumsupport Rais na tumuombee sana
Watakaojaribu kupingana na Mwenyezi Mungu moto watauona
 
Utamuombeaje mtu ambaye hataki ukweli?mara aseme ameziba masikio mara atumie vyombo vya dola kuwakamata wanaomwabia ukweli?Mtu ambaye hataki ukweli yawezekana kawekwa kwenye nafas hiyo na shetani
 
Kama wewe ni muumini wake au mtu wake wa karibu kaa kwa kutulia utatibua watu humu mtabaki uchi wa mnyama

Hamna unaloweza fanya
Hakuna anayekuogopa wala kuogopa lolote
Huna neno jipya unaloweza sema yote yalishasemwa
 
Mfuatilie, utamjua! Sijawahi kufika kwenye ibada yake yoyote ila nimezungukwa na waliokua wana husudu ibada zake ambao mpaka dk hii hawataki hata kusikia hilo jina lake, ni wahanga wa matukio tata hapo kanisani kwake.

Shuhuda za kutengeneza, kuumiza na kusambaratisha nyumba na familia za watu, amedhalilisha watu wengi, kuna mmoja kesha attempt kujiua mara kadhaa kwa kuto amini kilicho mtokea hapo kanisani, na hamna pakumshtaki

Rafiki yako alitengenezwa akalipwa sh ngapi🙄🙄🙄
 
Rafiki yako alitengenezwa akalipwa sh ngapi[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji250]
FB_IMG_16894081340027924.jpg
 
Acha kuingiza haya maneno ili kutetea usichokielewa kwa ukuhani wa Musa.

Kuna ukuhani wa kifalme uzao mteule ambao ni kama sifa na sio cheo cha kiongozi wa huduma. Kila aliyempokea Yesu Kristo amefanyika kuwa mwana kuhani wa kifalme aliyeteuliwa na Yesu mwenyewe.
Mkuu nimefatilia comments zako Una kitu kikubwa sana heshima kwako
 
Wanaopata uongozi kupitia kwa waganga wa kienyeji nao ni Mungu amewaweka?
 
Kusema ukweli ni uchawa eeeh
Kwani imani yako inakufundishaje kuhusu watawala na viongozi[emoji41]

Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

Quran Tukufu Sura ya 4 (An-nisaai) Aya ya 59: “Enyi Waumini mtiini Mwenyezi Mungu na mtiini Mtume na wenye mamlaka miongoni mwenu.’’
Ukweli ni kwamba shetani ndio Mungu wa Dunia hii na ndiye anayeweka watu mamlakani, ndio mana matunda wanayozaa ni yakishetani shetani kama haya huyu bibi kizee. Mkataba wa bandari unadhihirisha wanayemtumikia.
 
Kati ya Mimi na wewe nani asiyeelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole swahiba

Waebrania 5:1-10:25
1 Kwa maana kila kuhani mkuu anayechaguliwa miongoni mwa watu huteuliwa kumtumikia Mungu kwa niaba yao, kutoa sadaka na dhabihu kwa ajili ya dhambi zao.
2 Anaweza kuwaonea huruma wale wasioelewa na wanaopotoka kwa sababu yeye mwenyewe anasumbuliwa na udhaifu kama wao .
3 Kwa sababu hii, anawajibika kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za hao watu.
4 Hakuna mtu anayejichagulia heshima hii ya kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huitwa na Mungu kama vile Haruni alivyoitwa.
Mambo ya agano la kale na waisrael we mbona huelewi?
 
Ukweli ni kwamba shetani ndio Mungu wa Dunia hii na ndiye anayeweka watu mamlakani, ndio mana matunda wanayozaa ni yakishetani shetani kama haya huyu bibi kizee. Mkataba wa bandari unadhihirisha wanayemtumikia.

Wewe unaishi kwa nguvu za shetani mungu wa dunia!!!?? Au kwa nguvu za Mungu mwenye enzi muumba wa mbingu na dunia???

Badala ya kutukana na kupandwa hasira Muombe Mungu wako afanye jambo kubadili ubaya unaokukera. Huo ndio ushauri wa Kuhani Musa

Ukumbuke pia kwamba vigezo na masharti ya maombi kutibiwa vitazingatiwa.
 
Baada ya kufufika yesu akawa kuhani mkuu, na wote waliompokea wakawa makuhani wa sifa ksb ni Wana wa kuhani mkuu

Kwa maana ingine Sisi tunaitwa kwa jina lake kuendeleza kazi yake tuu makuhani
 
Back
Top Bottom