404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,963
Hivi ukuhani Musa amepewa na nani? Au baada ya kuokoka akajiita kuhani? Kuna jamaa aliandika Jana akasema ukiokoka tu wewe tayari ni kuhanikuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?
✍️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukuhani Musa amepewa na nani? Au baada ya kuokoka akajiita kuhani? Kuna jamaa aliandika Jana akasema ukiokoka tu wewe tayari ni kuhanikuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?
Unasomaga maandiko ila huyaelewagi.Ndio maana naamini
Mwongezee maswali magumu magumuUnasomaga maandiko ila huyaelewagi.
Hakuna ukuhani baada ya kufa na kufufuka kwa Yesu.
Kabla ya kukata roho Yesu alisema IMEKWISHA!
Unajua maana ya neno IMEKWISHA?
Aliposema hivyo hakufanua bila shaka, ni mkusanya hela tu huyo.Kuna jamaa aliandika Jana akasema ukiokoka tu wewe tayari ni kuhani
Sasa yule Musa ukuhani kapewa na nani?Aliposema hivyo hakufanua bila shaka, ni mkusanya hela tu huyo.
Unasomaga maandiko ila huyaelewagi.
Hakuna ukuhani baada ya kufa na kufufuka kwa Yesu.
Kabla ya kukata roho Yesu alisema IMEKWISHA!
Unajua maana ya neno IMEKWISHA?
Mwongezee maswali magumu magumu
✍️😬
Nasubiri ajibu swali langu then nimchomoe mikononi mwa kuhani wa michongo, huyu mama D katekwa nyara.Mwongezee maswali magumu magumu
✍️😬
Hao makuhani enzi za kina Musa na Haruni walikuwa anapokea sadaka(dhabihu) za wanyama wanachinja kondoo kama sadaka kisha wanakula nyama choma, ila dhambi za watu zinabaki zile zile.Kati ya Mimi na wewe nani asiyeelewa🤣🤣🤣 pole swahiba
Waebrania 5:1-10:25
1 Kwa maana kila kuhani mkuu anayechaguliwa miongoni mwa watu huteuliwa kumtumikia Mungu kwa niaba yao, kutoa sadaka na dhabihu kwa ajili ya dhambi zao.
2 Anaweza kuwaonea huruma wale wasioelewa na wanaopotoka kwa sababu yeye mwenyewe anasumbuliwa na udhaifu kama wao .
3 Kwa sababu hii, anawajibika kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za hao watu.
4 Hakuna mtu anayejichagulia heshima hii ya kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huitwa na Mungu kama vile Haruni alivyoitwa.
Hao makuhani enzi za kina Musa na Haruni walikuwa anapokea sadaka(dhabihu) za wanyama wanachinja kondoo kama sadaka kisha wanakula nyama choma, ila dhambi za watu zinabaki zile zile.
Hebu niambie ni kuhani gani ambaye Yesu akimuangiza afanye kazi ya ukuhani baada ya yeye kupaa mbinguni?
Halafu hujajibu swali langu la nini maana ya IMEKWISHA, naomba ujibu plz
Mama amezungukwa na waharibifu. Tumwombee
Najua Hujanielewa kwa sababu ya kile ulichoaminishwa kimakosa, ila tambua mambo ya ukuhani yaliwahusu wayahudi tu ndani ya agano la kaleUnasoma kilichoandikwa lakini unaelewa kisichoandikwa😂
Najua Hujanielewa kwa sababu ya kile ulichoaminishwa kimakosa, ila tambua mambo ya ukuhani yaliwahusu wayahudi tu ndani ya agano la kale
Yesu alipokuja aliweka agano jipya na hilo agano ni kwa mataifa yote na hakuteua makuhani kwa agano jipya, hivyo yeyote anayejiita kuhani nyakati hizi huyo hamtumikii Yesu.
....... katufanya Ukuhani na Ufalme...Wapi pameandikwa yaliwahusu wayahudi pekee?????
Yesu anakukumbusha neno lake ni kwa mataifa yote na hakuja kuitangua torati
Ndio maana ametoa muongozo wa kwamba Kuhani anatakiwa kuwa nani
Weka roho ya kupingana kando kwanza ukasome uelewe halafu urudi na majibu
....... katufanya Ukuhani na Ufalme...
Ina maana huelewi kwa nini wayahudi walimbeza Yesu aliposema atalivunja hekalu na kulijenga kwa siku?Wapi pameandikwa yaliwahusu wayahudi pekee?????