Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Ukiwa unajua mamlaka ya Rais inakotoka wapi na nguvu zake utafuata ushauri wa kuomba kwaajili ya Rais na viongozi wengine
Hii ni mojawapo ya kifungu cha maandiko kinachotumika kuhalalisha uovu. Ni vema kama hujui neno uache kumhusisha Mwenyezi Mungu na mambo ya upotofu.
 
Ukiwa unajua mamlaka ya Rais inakotoka wapi na nguvu zake utafuata ushauri wa kuomba kwaajili ya Rais na viongozi wengine
Hata Idd Amin, Bokasa na madikteta wengi tu walikuwa marais, Kwahiyo mungu ndio amewapa huo Urais?

Basi huyo atakuwa mungu magumashi tu.
 
huyu kuhani uchaguzi wa 2020 alikuwa hajazaliwa? asimhusishe Muumba wa vyote na wizi wa kura tafadhali sana.
 
hakuna asiyejua kuwa huyu kuhani ni nabii wa uongo, na wote wanaoenda pale wanahudumiwa na shetani moja kwa moja na wataenda motoni.
 
Ina maana kuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?

Ingefaa pia huyo jamaa akiweka wazi ni nani aliyempa ukuhani maana anadhani anatumika kama mtiwa mafuta kumbe ni mtia mafuta wa mchongo.
Shetani sio Mungu,shetani ni shetani,hajawahi kuwa Mungu,na wala hatawahi kuwa Mungu.Tumia maarifa.
 
Banking ziko kazi nyingi,-kutegemea na elimu yako
 
Huo mchezo wa kulipa watu 20k kisha kuwaambia washuhudie wanepata muujiza wa mamilioni mkome.
 
Wewe msomi sana.
 
Uyo kuhani juzi tuu na kina mwamposa,suguye,kimario..walikua ikulu ya magogoni wanakunywa chai na mama..Hawa wahubiri wa mchongo washageuka machawa wa mama .kwenye ibada zao jina la mama linatajwa zaidi kuliko uyo Yesu mwenye kanisa lake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…