Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Ina maana kuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?

Ingefaa pia huyo jamaa akiweka wazi ni nani aliyempa ukuhani maana anadhani anatumika kama mtiwa mafuta kumbe ni mtia mafuta wa mchongo.
Kama shetan ni mungu basi omba Mungu mwema amuondoe.

#DEBEtupu.
 
Ukiwa mnene kumtapeli mtu ni rahisi kuliko mwembamba.Kila jambo lina pande mbaya na nzuri.

Kama hivyo Nenepa wewe tapeli

Mie hauna faida kwangu na siutaki
 
Kama hivyo Nenepa wewe tapeli

Mie hauna faida kwangu na siutaki
Upendo huvumilia , hauhesabu mabaya , haujivuni , haushindani , kama hauna hizo sifa hauna upendo ,kama hauna upendo hauna Mungu kwa sababu Mungu ni pendo.
 
Upendo huvumilia , hauhesabu mabaya , haujivuni , haushindani , kama hauna hizo sifa hauna upendo ,kama hauna upendo hauna Mungu kwa sababu Mungu ni pendo.

Nani hizo sifa hazithibitishwi kwa kuongeaongea ila kwa matendo
 
Nani hizo sifa hazithibitishwi kwa kuongeaongea ila kwa matendo
Ole wenu wenye enyi kizazi kiovu chenye kupenda ishara ,nahamta pata ishara isipokua ishara ya Yona.
 
Kwanza athibitishe huyo Mungu yupo.
 
Mzee wa thibitisha...[emoji1787][emoji1787]
Hoja ya Mungu imetumiwa na watawala wanaotaka kuhalalisha tawala zao na wapiga zumari wao tangu enzi za Wasumaria, Wamisri, Waebrania, Wachina, Wagiriki, Warumi, Wafaransa, Waingereza na mpaka Donald Trump.

Tatizo wengi hawajui historia.

Kimsingi ni logical fallacy inayoitwa "argument from authority".
 
Nakubaliana na wewe kabsa , vipi kuhusu energy inayo endesha haya maumbile?
 
Nakubaliana na wewe kabsa , vipi kuhusu energy inayo endesha haya maumbile?
Energy ni energy tu, haihitaji kuwa Mungu.

Kama maji ya mto yanashuka kutoka juu mlimani, kuja chini mpaka baharini, kwa sababu yanaenda kwenye past of least resistance kwa kufuata gravity, hapo ni gravity inafanya maji yashuke hivyo.

Ukweli kwamba gravity inasababisha maji kushuka kutoka mlimani haitufanyi tuseme kwamba gravity ni Mungu.
 
Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?

Ili kumjua Mungu lazima uwe na Roho Mtakatifu sasa haonekani kwa kuongea lazima uamini na uombe sana...

Ukimuamini tu Mungu ndo utamjua ila ukitaka kuthibitisha kibinadamu huwezi
 
Sure nimekuelewa , ila naona ni watu tu wameamua kuipa hiyo nguvu personality tu na haiathiri chochote .
 
Sure nimekuelewa , ila naona ni watu tu wameamua kuipa hiyo nguvu personality tu na haiathiri chochote .
Inabidi wasome Quantum Physics na kutafuta jawabu la kuiunganisha na Relativity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…