Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheka Unenepe kuhani.๐๐๐
Ukiwa mnene kumtapeli mtu ni rahisi kuliko mwembamba.Kila jambo lina pande mbaya na nzuri.Unene una kitu gani cha maana!?
Mie siutaki๐
Kama shetan ni mungu basi omba Mungu mwema amuondoe.Ina maana kuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?
Ingefaa pia huyo jamaa akiweka wazi ni nani aliyempa ukuhani maana anadhani anatumika kama mtiwa mafuta kumbe ni mtia mafuta wa mchongo.
Basi konda, ila sio wa dala dala.Kama hivyo Nenepa wewe tapeli
Mie hauna faida kwangu na siutaki
Upendo huvumilia , hauhesabu mabaya , haujivuni , haushindani , kama hauna hizo sifa hauna upendo ,kama hauna upendo hauna Mungu kwa sababu Mungu ni pendo.Kama hivyo Nenepa wewe tapeli
Mie hauna faida kwangu na siutaki
Sure , wanatambulika kwa matendo , akinenacho mtu ndivyo alivyo.Nani hizo sifa hazithibitishwi kwa kuongeaongea ila kwa matendo
Ole wenu wenye enyi kizazi kiovu chenye kupenda ishara ,nahamta pata ishara isipokua ishara ya Yona.Nani hizo sifa hazithibitishwi kwa kuongeaongea ila kwa matendo
Kwanza athibitishe huyo Mungu yupo.Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......
Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?
Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale
View attachment 2691266
Tumsupport Rais na tumuombee sana
Mzee wa thibitisha...[emoji1787][emoji1787]Kwanza athibitishe huyo Mungu yupo.
Hoja ya Mungu imetumiwa na watawala wanaotaka kuhalalisha tawala zao na wapiga zumari wao tangu enzi za Wasumaria, Wamisri, Waebrania, Wachina, Wagiriki, Warumi, Wafaransa, Waingereza na mpaka Donald Trump.Mzee wa thibitisha...[emoji1787][emoji1787]
Nakubaliana na wewe kabsa , vipi kuhusu energy inayo endesha haya maumbile?Hoja ya Mungu imetumiwa na watawala wanaotaka kuhalalisha tawala zao na wapiga zumari zao tangu enzi za Wasumaria, Wamisri, Waebrania, Wachina, Wafaransa, Waingereza na mpaka Donald Trump.
Kimsingi ni logical fallacy inayoitwa "argument from authority".
Energy ni energy tu, haihitaji kuwa Mungu.Nakubaliana na wewe kabsa , vipi kuhusu energy inayo endesha haya maumbile?
Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?Hoja ya Mungu imetumiwa na watawala wanaotaka kuhalalisha tawala zao na wapiga zumari zao tangu enzi za Wasumaria, Wamisri, Waebrania, Wachina, Wafaransa, Waingereza na mpaka Donald Trump.
Kimsingi ni logical fallacy inayoitwa "argument from authority".
Sure nimekuelewa , ila naona ni watu tu wameamua kuipa hiyo nguvu personality tu na haiathiri chochote .Energy ni energy tu, haihitaji kuwa Mungu.
Kama maji ya mto yanashuka kutoka juu mlimani, kuja chini mpaka baharini, kwa sababu yanaenda kwenye past of least resistance kwa kufuata gravity, hapo ni gravity inafanya maji yashuke hivyo.
Ukweli kwamba gravity inasababisha maji kushuka kutoka mlimani haitufanyi tuseme kwamba gravity ni Mungu.
Inabidi wasome Quantum Physics na kutafuta jawabu la kuiunganisha na Relativity.Sure nimekuelewa , ila naona ni watu tu wameamua kuipa hiyo nguvu personality tu na haiathiri chochote .