Kuamin marekani ipo haikufanyi wewe kuijua marekani , imani tu haitoshi kutoa udhibitisho wa uwepo wa Mungu ,tatizo dini imefanya uwepo wa Mungu ki personality zaidi ndio maana kamwe hauwezi kudhibitisha.Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?
Ili kumjua Mungu lazima uwe na Roho Mtakatifu sasa haonekani kwa kuongea lazima uamini na uombe sana...
Ukimuamini tu Mungu ndo utamjua ila ukitaka kuthibitisha kibinadamu huwezi
Nchi za wenzetu kwenye hili wamefika mbali mno .Inabidi wasome Quantum Physics na kutafuta jawabu la kuiunganisha na Relativity.
Rudi kwenye kitabu njoo tuambie kinasemaje kuhusu mamlaka zisizo waheshimu nakuwatumikia vyema watu wa MunguKatiba ya Mungu inamwambia yeye aitii mamlaka na kuombea wakuu wa nchi. Hata wewe unatakiwa kufanya hivyo
Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
Energy cannot be created nor destroyed ,but can be transformed from one form to another form and it's vice versa.Inabidi wasome Quantum Physics na kutafuta jawabu la kuiunganisha na Relativity.
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...Kuamin marekani ipo haikufanyi wewe kuijua marekani , imani tu haitoshi kutoa udhibitisho wa uwepo wa Mungu ,tatizo dini imefanya uwepo wa Mungu ki personality zaidi ndio maana kamwe hauwezi kudhibitisha.
Ndo anaanza anza hivyo.Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......
Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?
Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale
View attachment 2691266
Tumsupport Rais na tumuombee sana
Hata hiyo roho yenyewe nikiwambia uthibitishe ipo huwezi.Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?
Ili kumjua Mungu lazima uwe na Roho Mtakatifu sasa haonekani kwa kuongea lazima uamini na uombe sana...
Ukimuamini tu Mungu ndo utamjua ila ukitaka kuthibitisha kibinadamu huwezi
Hujathibitisha Mungu yupo, hujathibitisha roho ipo.Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...
Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...
Sasa anajenga ..
Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...
Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...
Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...
Kwanini?
Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...
Saivi naona mambo makubwa...
Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1
Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...
Bwana YESU atukuzwe
Mstari pendwa wa manabii WA kisasaπ€π€. Hatuwezi kuwaamini matapeli.Namuamini Mungu anayemtumia, sanaaa na kwa neno lake namwamini mtumishi wake
2 Nyakati 20:20
"......mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa."
Upo sahihi kabisa sijapinga mawazo yako ,kila wazo la mtu ni sahihi sana kwake, ila sio kila wazo la mtu ni sahihi kwa mwingne japo kwa mwenye nalo ni sahihi kabsa.Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...
Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...
Sasa anajenga ..
Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...
Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...
Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...
Kwanini?
Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...
Saivi naona mambo makubwa...
Kuna neno la Biblia linasema tuzipime Roho ili tujue Roho ipi inatoka kwa Mungu ..
Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...
Bwana YESU atukuzwe
Shida inaanza pale unapotaka ku aminisha wengine kuwa imani yako ni sahihi kila mtu aifuate ,bila kuwa na udhibitisho usio na shaka.Upo sahihi kabisa sijapinga mawazo yako ,kila wazo la mtu ni sahihi sana kwake, ila sio kila wazo la mtu ni sahihi kwa mwingne japo kwa mwenye nalo ni sahihi kabsa.
πππ zinapatikana wapiTafuta nguvu za kuwatoa mapepo sio za kuangusha watu
Mapato yao yote wakianza kuwagawia masikini, hapo ndipo nitajua kweli wanamfuata bwana wa majeshi. Tofauti na hapo, ni ujanja ujanja.Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...
Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...
Sasa anajenga ..
Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...
Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...
Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...
Kwanini?
Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...
Saivi naona mambo makubwa...
Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1
Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...
Bwana YESU atukuzwe
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...
Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...
Sasa anajenga ..
Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...
Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...
Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...
Kwanini?
Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...
Saivi naona mambo makubwa...
Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1
Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...
Bwana YESU atukuzwe
Umenena kweli....mahubiri ya muhuni musa ni kama mganga wa kienyeji...Huyo kwa sasa ndio anae ongoza kwa RAMLI CHONGANISHI na wanamlinda ila siku zake nazo c nyingi
Huyo kwa sasa ndio anae ongoza kwa RAMLI CHONGANISHI na wanamlinda ila siku zake nazo c nyingi
Umenena kweli....mahubiri ya muhuni musa ni kama mganga wa kienyeji...