Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?

Ili kumjua Mungu lazima uwe na Roho Mtakatifu sasa haonekani kwa kuongea lazima uamini na uombe sana...

Ukimuamini tu Mungu ndo utamjua ila ukitaka kuthibitisha kibinadamu huwezi
Kuamin marekani ipo haikufanyi wewe kuijua marekani , imani tu haitoshi kutoa udhibitisho wa uwepo wa Mungu ,tatizo dini imefanya uwepo wa Mungu ki personality zaidi ndio maana kamwe hauwezi kudhibitisha.
 
Katiba ya Mungu inamwambia yeye aitii mamlaka na kuombea wakuu wa nchi. Hata wewe unatakiwa kufanya hivyo

Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
Rudi kwenye kitabu njoo tuambie kinasemaje kuhusu mamlaka zisizo waheshimu nakuwatumikia vyema watu wa Mungu
 
Inabidi wasome Quantum Physics na kutafuta jawabu la kuiunganisha na Relativity.
Energy cannot be created nor destroyed ,but can be transformed from one form to another form and it's vice versa.
 
Kuamin marekani ipo haikufanyi wewe kuijua marekani , imani tu haitoshi kutoa udhibitisho wa uwepo wa Mungu ,tatizo dini imefanya uwepo wa Mungu ki personality zaidi ndio maana kamwe hauwezi kudhibitisha.
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...

Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...

Sasa anajenga ..

Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...

Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...

Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...

Kwanini?

Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...

Saivi naona mambo makubwa...

Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1

Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...

Bwana YESU atukuzwe
 
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......

Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?

Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale

View attachment 2691266

Tumsupport Rais na tumuombee sana
Ndo anaanza anza hivyo.
Mwenzie mzee wa upako pale river side njia panda ya kwenda kanisani kwake aliwwkaga hadi bango kuuubwa la samia akaweka hadi sola ili pawake aonekane vizuri ila kwa sasa lile bango kakitoa kaona halina tena maana kwake kawejka la kwake
 
Mkuu, Mungu ni Roho sasa unataka athibitishe nini?

Ili kumjua Mungu lazima uwe na Roho Mtakatifu sasa haonekani kwa kuongea lazima uamini na uombe sana...

Ukimuamini tu Mungu ndo utamjua ila ukitaka kuthibitisha kibinadamu huwezi
Hata hiyo roho yenyewe nikiwambia uthibitishe ipo huwezi.

Umebanwa kuthibitisha uongo wa uwepo wa Mungu, umeshindwa, unaleta uongo mwingine wa habari za roho.

Badala ya kuthibitisha Mungu yupo, unajiongezea kazi ya kuthibitisha.

Mpaka sasa.

1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujathibitisha roho ipo.

Thibitisha vyote hivi vipo kweli na si hadithi za watu tu.
 
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...

Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...

Sasa anajenga ..

Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...

Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...

Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...

Kwanini?

Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...

Saivi naona mambo makubwa...

Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1

Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...

Bwana YESU atukuzwe
Hujathibitisha Mungu yupo, hujathibitisha roho ipo.

Thibitisha.
 
Namuamini Mungu anayemtumia, sanaaa na kwa neno lake namwamini mtumishi wake

2 Nyakati 20:20
"......mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa."
Mstari pendwa wa manabii WA kisasa🤔🤔. Hatuwezi kuwaamini matapeli.
 
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...

Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...

Sasa anajenga ..

Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...

Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...

Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...

Kwanini?

Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...

Saivi naona mambo makubwa...

Kuna neno la Biblia linasema tuzipime Roho ili tujue Roho ipi inatoka kwa Mungu ..

Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...

Bwana YESU atukuzwe
Upo sahihi kabisa sijapinga mawazo yako ,kila wazo la mtu ni sahihi sana kwake, ila sio kila wazo la mtu ni sahihi kwa mwingne japo kwa mwenye nalo ni sahihi kabsa.
 
Shida inaanza pale unapotaka ku aminisha wengine kuwa imani yako ni sahihi kila mtu aifuate ,bila kuwa na udhibitisho usio na shaka.
 
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...

Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...

Sasa anajenga ..

Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...

Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...

Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...

Kwanini?

Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...

Saivi naona mambo makubwa...

Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1

Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...

Bwana YESU atukuzwe
Mapato yao yote wakianza kuwagawia masikini, hapo ndipo nitajua kweli wanamfuata bwana wa majeshi. Tofauti na hapo, ni ujanja ujanja.
 
Rudi kwenye kitabu njoo tuambie kinasemaje kuhusu mamlaka zisizo waheshimu nakuwatumikia vyema watu wa Mungu

Hukumu ya kutokutii mamlaka huijui?? Basi utakua hujui hata Kristo alituhumiwa kwa makosa gani😅
 
Mapato yao yote wakianza kuwagawia masikini, hapo ndipo nitajua kweli wanamfuata bwana wa majeshi. Tofauti na hapo, ni ujanja ujanja.
Kwani hawajui wanaowagawia maskini???
Kama ndivyo mwache kupinga mambo msiyoyajua
 
Mimi binafsi naweza sema namjua Kuhani Musa kuwa ni mteule wa Mungu...

Kila anachofanya Kuhani ni maagizo Kutoka kwa Mungu...

Sasa anajenga ..

Hilo kanisa nimeshaliona linajengwa ktk Ulimwengu wa Roho...

Anamsaidia watu kwa jina la YESU, wanapona na mengine mengi, anafichua Siri za wachawi...

Na Bado atajenga mashule nimeona yakijengwa Rohoni...

Kwanini?

Sasa ninaouwezo wa kuona mambo ya Rohoni, nifuraha sana...

Saivi naona mambo makubwa...

Kuna neno la Biblia linasema wapenzi msiamini kila Roho bali zipimeni hizo Roho kuwa zinatoka kwa Mungu ..
1Yohana 4:1

Tuache kusema Manabii kuwa wote ni wa uongo bila kuthibitisha kiroho...

Bwana YESU atukuzwe

Wanaipingana na wewe hawana ushahidi wanachopinga wala huyo Kuhani Musa hawajawahi kumjua, na wanachokipinga kumhusu hawakijui 🤣
 
Huyo kwa sasa ndio anae ongoza kwa RAMLI CHONGANISHI na wanamlinda ila siku zake nazo c nyingi

Ramli changanishi kivipi

Umenena kweli....mahubiri ya muhuni musa ni kama mganga wa kienyeji...

Rais ni amiri jeshi mkuu, yuko kwenye kiti tayari
Kama wewe una imani kwa Mungu muombe hicho unachotamani kukiona kwa rais. Au mna dini msizoziamini??
Ukimjua Mungu wako na nguvu zake hutalalamika wala kukasirika!! Utaomba!
 
Back
Top Bottom