DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Narudia kusema tens serikali izuie watoto kutumiwa kwenye matukio na biashara za aina hii.
 
Mimi nilikua na msichana wa kazi mlokole, yaani sitaki hata kukumbuka, kuna siku aliniambia eti nabii amewaambia wafunge siku arobaini bila kula wala kunywa kama Yesu alivyofanya, sikutaka kubishana nae, siku ya pili ya mfungo nikamkuta amelala anatetemeka nikamuuliza kulikoni, akaniambia mwili hauna nguvu kichwa kinauma anatetemeka, nikamwitia bajaji nikamwambia nenda kwa nabii ukimaliza mfungo wa siku arobaini utarudi kuendelea na kazi

Huyo binti alikua anasali kwa Nabii Malisa
Yale yale kama mchungaji wa kenya
 
Back
Top Bottom