Ni shuhuda za uchonganishi na mafarakano na huo sio msingi wa Kikristo. Watu wengi hamjui na mnaulaumu sana Ukristo kwa ajili ya uhuni wa wazi wachache. Uhuni wa watu wachache ni wao wenyewe na hauhusiani na Ukristo. Hii ni sawa na Shehe kubaka, hakuhusiani na Uislamu bali ni mtu mwenyewe.
Msingi wa Ukristo ni imara na umejengwa juu ya Kristo mwenyewe ambaye ndiye jiwe la msingi. Mi ninatumika kanisani huku kwetu na wapo watumishi wenye weledi na maadili mazuri ya kiroho na sio hao wahuni wasiojitambua wala kujua nini wanafanya. Maadili ya Kikristo hayaruhusu shuhuda za namna hiyo wala kuuliza mapepo wala kuwa na visaidizi kama Mafuta, maji, chumvi, udongo, leso, keki n.k.
Sisi tumeachiwa Jina la Yesu. Hilo ndilo liponyalo, liokoalo, litakasalo, lifungualo vifungo, linalotushindia kwa maana hapana wokovu katika mwingine zaidi ya Jina la Yesu. Na katika Jina hilo kila Goti litapigwa likiwepo goti la Kuhani Mussa na la Mkureshi Muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji38]