True story,Nilikuwa nimelala usiku,nikiwa usingizini nikawa nawaona vijana wa kiume wawili waliokuwa wamevaa vitambaa vyekundu kama wamejifunga kanga nyekundu wakisema tuile nyama alafu at meantime i was pregnant..nilishtuka kutoka usingizini majasho yakiwa yananitoka.Asubuhi huwezi amini nikaona my period so mimba iliharibika.Mnaweza msiamini but wachawi sasa hivi ni watoto kwa vijana ile zana ya wazee kuwa wachawi ishapitwa na wakati juu ya hao wazee wakifa unadhani watarithishwa kina nani?
Kuhani Musa sio tapeli,kuwa makini sana na unachojitengenezea kichwani mwako ..fanya vyote ila usiingilie kazi ya watumishi wa Mungu cause sio kazi rahisi ambayo kila mtu anaweza ifanya.Ni muda sasa Mungu atawale na uwepo wake udhiirishwe kwenye maisha yetu cause watoto wetu ,familia zetu zinaharibikiwa na yote kwasababu hatuna uwepo wa Mungu ndani yetu.
Wacha kusema Watumishi wa Mungu!