Mimi nilikua na msichana wa kazi mlokole, yaani sitaki hata kukumbuka, kuna siku aliniambia eti nabii amewaambia wafunge siku arobaini bila kula wala kunywa kama Yesu alivyofanya, sikutaka kubishana nae, siku ya pili ya mfungo nikamkuta amelala anatetemeka nikamuuliza kulikoni, akaniambia mwili hauna nguvu kichwa kinauma anatetemeka, nikamwitia bajaji nikamwambia nenda kwa nabii ukimaliza mfungo wa siku arobaini utarudi kuendelea na kazi
Huyo binti alikua anasali kwa Nabii Malisa