Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama D bila shaka wewe utakuwa mama mchungaji wa Nabii Mussa maana siyo kwa kumpromoti huku😂
Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?
Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu. Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka...www.jamiiforums.com
Unamaanisha nini mkuu?
Namaanisha wagonjwa wengi sana wanafia pale kwake kwa magonjwa ya kawaida, lakini yeye anawaaminisha kwenye maombi tuu.
Siku hizi wachungaji wengi wamekuwa wajanja, wanakuwa na madaktari wao ili endapo mgonjwa atazidiwa wakati wanafanya maombi basi wana-rule-out kwanza kama hana ugonjwa wa kibinadamu na sio kukomaa na maombi tuu.
Imetokea mara nyingi sana wakati wa maombi wagonjwa wanapoteza fahamu, waumini na mchungaji wanaamini maombi yamepenya, kumbe ni mgonjwa kaishiwa sukari tuu, mwisho wa siku analala mazima haamki.
yeah, but wanafundisha mengi sn, tuzingatie tu ya kwenye vitabu vya dini na sheria za nchi inatoshaIna mashekhe na mashekha pia mkuu. Usisahau hilo
Ila tuzingatie wanayotufundisha kupunguza majanga ya kijamii kama panyaroad
Kwahiyo wewe ulikuwa unashaurijeKujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad
Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
View attachment 2359618
Uzuri ni kwamba panya road wapo pwani kwenye mizizi ya huo uislamu unao usemea.Hii dunia ingefuata misingi ya kiislamu ingekuwa sehemu Salama sana uislam unapiga vita kuzini na kuzaa nje ya ndo ila inashangaza kuona sehemu inayoitwa takatifu kufungisha ndoa wakati mke akiwa mja mzito kama nandi na billnass ni kweli uislam pia una mapungufu ila huwezi kuta suala kama hilo kwa waislam never mwenye mimba sheh afungishe ndoa tena mimba kubwa kabisa.
Hii dunia ingefuata misingi ya kiislamu ingekuwa sehemu Salama sana uislam unapiga vita kuzini na kuzaa nje ya ndo ila inashangaza kuona sehemu inayoitwa takatifu kufungisha ndoa wakati mke akiwa mja mzito kama nandi na billnass ni kweli uislam pia una mapungufu ila huwezi kuta suala kama hilo kwa waislam never mwenye mimba sheh afungishe ndoa tena mimba kubwa kabisa.