Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad

Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao

Kuna watoto wanaishi na wazazi wote ila hawaonekani makwao
 
Huyu ndiyo yule kuhani anayeongoza kwa watu kufia kwake?
 
mama D bila shaka wewe utakuwa mama mchungaji wa Nabii Mussa maana siyo kwa kumpromoti huku😂

Kwani ningekua hivyo kuna shida!?

Lazima wewe ni baba wa hawa panyaroad wanaotaabika na kutaabisha nchi yetu
 
Unamaanisha nini mkuu?
Namaanisha wagonjwa wengi sana wanafia pale kwake kwa magonjwa ya kawaida, lakini yeye anawaaminisha kwenye maombi tuu.

Siku hizi wachungaji wengi wamekuwa wajanja, wanakuwa na madaktari wao ili endapo mgonjwa atazidiwa wakati wanafanya maombi basi wana-rule-out kwanza kama hana ugonjwa wa kibinadamu na sio kukomaa na maombi tuu.

Imetokea mara nyingi sana wakati wa maombi wagonjwa wanapoteza fahamu, waumini na mchungaji wanaamini maombi yamepenya, kumbe ni mgonjwa kaishiwa sukari tuu, mwisho wa siku analala mazima haamki.
 
Kumbe
Hao wagonjwa wanakua wamelazimishwa kwenda au wameamua wenyewe katika kumtafuta Mungu!?
Halafu wapi ambapo kunatolewa huduma za kijamii kwa wenye uhitaji watu hawafi!? Au mahospitalini huko hawezi!??

Au hujui kama kifo ni ahadi kwa ambao muda wao umefika?
 
hii nchi ina manabii, mitume na makuhani

Ina mashekhe na mashekha pia mkuu. Usisahau hilo

Ila tuzingatie wanayotufundisha kupunguza majanga ya kijamii kama panyaroad
 
yeah, but wanafundisha mengi sn, tuzingatie tu ya kwenye vitabu vya dini na sheria za nchi inatosha
 
Hii dunia ingefuata misingi ya kiislamu ingekuwa sehemu Salama sana uislam unapiga vita kuzini na kuzaa nje ya ndo ila inashangaza kuona sehemu inayoitwa takatifu kufungisha ndoa wakati mke akiwa mja mzito kama nandi na billnass ni kweli uislam pia una mapungufu ila huwezi kuta suala kama hilo kwa waislam never mwenye mimba sheh afungishe ndoa tena mimba kubwa kabisa.
 
Uzuri ni kwamba panya road wapo pwani kwenye mizizi ya huo uislamu unao usemea.

Jamii imeshaharibika hakuna dini ya kuirekebisha mana hata hao viongozi wa dini ni wenzi na matapeli.

Mfumo umeharibika..linda familia yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii dunia ingefuata misingi ya kiislamu ingekuwa sehemu Salama sana uislam unapiga vita kuzini na kuzaa nje ya ndo ila inashangaza kuona sehemu inayoitwa takatifu kufungisha ndoa wakati mke akiwa mja mzito kama nandi na billnass ni kweli uislam pia una mapungufu ila huwezi kuta suala kama hilo kwa waislam never mwenye mimba sheh afungishe ndoa tena mimba kubwa kabisa.

Halafu mnazaa nje ya ndoa na kutelekeza watoto tena mnawaita haramu

Kama Mwenyezi Mungu alimbariki Ishmael aliyezaliwa nje ya ndoa kadri ya ombi la Ibrahimu sisi ni kina nani hadi tuwaite viumbe wake haramu?

KUTOKA 17:15-21
15 Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
16 Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

17 Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa?

18 Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
19 Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

20 Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.​

21 Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.​

Back
Top Bottom