Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Unafutwa huko kwenye inshu za Ukraine na Russia
 


Mtafute huyu mtu anaitwa YUSUFU IBRAHIMU MUSA au TAUSI wa bongomovie au mama kubwa wakueleze wao walitoa sh ngapi ndio wakasaidika

Kuongea mambo yasiyokuwako au usiyoyajua au usiyokua na uhakika nayo ni Uongo; na Uongo ni machukizo mbele za Mungu

KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI?
 
Watu wanachotakiwa kuelewa ni kwamba unapoona pale ibadani huyo kuhani/ mtume au nabii amemtabiria kumponya mtu, hiyo ni kama kupromote ujuzi au vipawa vyake ili watu wengine waone na waamini. Kumbuka kanisa lina waumini wengi na kila mmoja amekwenda pale anashida zake, kwahiyo ile kumsimamisha mtu mmoja au watu kadhaa na kauwafanyia miujiza ni sehemu tu ya kuwajenga watu wazidi kumuamini zaidi. Sasa kwa nyinyi mliobaki anajua tu kuwa lazima mtataka kumuona private. Sasa hapo ndio kiwango cha fedha mnapangiwa. Na kwakuwa alishafanya kwa baadhi yenu kanisani (kama sample) hivyo lazima uamini kua ukionana nae tatizo lako limekwesha.



Mfano mdogo kwa wavuta sigara au wauza karanga. Kunakuwaga na za kuonjesha kwanza ukipenda unalipia.



Kuhusu uwezo walionao sitaki kuongelea sana nisije nikakosea

Ila naamini kuwa kila binadamu ana uwezo, karama na vipawa tofauti tofauti alivyojaaliwa na Mungu, kwakuwa tuna nguvu ya uungu ndani yetu, ni wachache sana wanaoijuwa siri hii. Sema viongozi wetu wadini (baadhi yao) wa wanazitumia kama fimbo ya kukamatia waumini, wanatenda miujiza na kurushia mpira kwa Yesu ndo kafanya muujiza siri inabaki kuwa yake ( wanatuficha hawataki tuujue ukweli).

Kasomeni Uzi wa Pascal Mayalla Psychic power.

Pia pitieni google na website mbalimbali kusoma kuhusu Third Eye au pineal gland.
Third Eye ni Jicho lisiloonekana lenye uwezo wa kuona mambo ya rohoni na kutenda mambo mengi ambayo hayawezekani kiakili ya kawaida, sisi huku ndo tunaita miujiza.




View attachment 2131645
 

Attachments

  • Screenshot_20201231-104145.jpg
    48.6 KB · Views: 30


Unaweza kuwa sahihi kwa namna fulani na watumishi na viongozi fulani wa imani lakini fanya utafiti kuhusu mmojammoja

Katika kumfuatilia Kuhani Musa nimekutana na comments nyingi sio jf tuu hata kwenye mitandao mingine. Nimejaribu na mimi niwekewe hiyo appointment ya kuambiwa inafanywa na sadaka ili dada yangu aonane nae tangu mwaka jana August hadi leo hatujaweza kupata nafasi.

Wahusika tulioongea nao wameniambi wazi kwamba Kuhani Musa hapendi kuona mtu mmojammoja unless aone shida yako inahitaji muda zaidi ya ule wa ibada na hiyo ni mara chache sana. Tatizo watu wengi wanataka aongee nao na hawataki kuhudhuria ibada wapate mafundisho na maombi yatakayomaliza shida zao. Yaani kwa kifupi mtu hayupo tayari kutumia muda wake kuongea na Mungu kupitia miongozo ya kuhani ila wanamtaka yeye

Wanasema akisema aone watu hata watu 500 kwa siku watakua na shida ya kumuona. Lakini huo sio mpango wa Mungu maana atakosa muda wa maombi na ibada ambavyo vina matokeo makubwa zaidi kwa waumini kuliko hilo la kuona mmojammoja

Dada yangu sababu yupo Dar es salaam nimemshauri kama anadhani Kuhani Musa ana msaada basi aende ibadani kwake. Akienda akapata majibu nitawajuza
 
Mbona inawauma Sana? Pesa ni jawabu la mambo yote.
 
Usihukimu usije ukahukumiwa, tubu

Kuhani ana ushahidi wa yaliyotokea ila Yeye anayemwita tapeli kashindwa kuleta ushahidi wa utapeli.

Sasa hapo ndio utajua lunatoc ni tapeli mkuu
 

Sadaka ni sadaka haijalishi ni pesa au dhahabu au mali

Ni utaratibu kwenda nyumba ya ibada/madhabahu na sadaka



Halafu




Sadaka ni sadaka haijalishi ni pesa au dhahabu au mali

Ni utaratibu kwenda nyumba ya ibada/madhabahu na sadaka

Halafu
 
Hata siye tulikuwa wabishi,, enzi hizo miaka ya 2013 mke mtarajiwa alikuwa anapenda kumwangalia Mwamposa kupitia Channel 10 alipokuwa pale Sinza Vatican, nami nilikuwa namwona mpigaji tu na wale wanaoenda pale kama wajinga fulani hivi...
Baada ya kuwa na familia na yaliyonikuta kunikuta, kuanzia mwaka jana 2021 mwezi April nimejikita kwa Kuhani Musa kwasababu karibu na ninapokaa na wala sisikii...
 
Kuna MAKANISA yanachangisha SADAKA kujenga shule ambazo hao wanaochanga hawana uwezo kwa kusomesha watoto wao...
Kuna MAKANISA yanachangisha SADAKA kujenga HOSPITALI ambazo waumini wakiugua hawana uwezo wa kutibiwa...

Na bado kuna mtu anasema wengine ni Wajinga...🧐
 


KUHANI MUSA RICHARD MWACHA Ni Nani?
 
Mkuu nina safari ya kwenda kigoma ndani ya mwezi wa tatu, kama hutojali unaweza kuniambia huyo Yusufu Ibrahim Musa anaishi / aliishi kigoma wilaya gani, mtaa / kijiji gani ili nami nikajionee kwa macho yangu hiyo familia iliofufuka
 
Mkuu nina safari ya kwenda kigoma ndani ya mwezi wa tatu, kama hutojali unaweza kuniambia huyo Yusufu Ibrahim Musa anaishi / aliishi kigoma wilaya gani, mtaa / kijiji gani ili nami nikajionee kwa macho yangu hiyo familia iliofufuka

Mwenyewe naitamani sana ila basi tuu niko mbali

Natamani kujua majirani wa Yusufu kule kigoma wamepokeaje hili

Natamani kujua viongozi wa dini walioshiriki maziko ya hawa watoto wanaongeleaje kurudi kwao

Natamani kusikia toka kwa madaktari na wauguzi waliothibitisha vifo vyao wanashauri nini kwetu tulio hai

Natamani wale waliokua wanafunzi haswa yule aliyeanguka na kufa akiwa shuleni walimu na wanafunzi wenzake watawapokeaje wakirudi


Mungu ibariki Tanzania
 

We nitafutie hizo details tu, ni wilaya gani na kijiji / mtaa gani huyo jamaa aliishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…