Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kazi inaendelea

Kuhani Musa Richard Mwacha katika matukio ya kitaifa

Uzinduzi wa ikulu mpya Dodoma




Mungu ibariki Tanzania

Mama D


Tafadhali eleza kwa kina kuhusu huyu Kuhani ikiwezekana umtag ili aweze kujibu hoja za wanajukwaa kuondoa hisia na fikra kwamba kuna mazingara yanachezeshwa kulaghai watu
 
Kazi inaendelea

Kuhani Musa Richard Mwacha katika matukio ya kitaifa

Uzinduzi wa ikulu mpya Dodoma




Mungu ibariki Tanzania

huyu mchawi na nabii wa uongo moto wake utakuwa mkubwa sana. ndugu zangu kuweni makini sana na hawa manabii.
 
huyu mchawi na nabii wa uongo moto wake utakuwa mkubwa sana. ndugu zangu kuweni makini sana na hawa manabii.
Kwanini unasema Kuhani Mchawi?

Unajua kuzipima Roho au unasema tu bila kuthibitisha?

Kuhani ni mtumishi wa Mungu...

Tena wa Kweli..

Wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
 
Kwanini unasema Kuhani Mchawi?

Unajua kuzipima Roho au unasema tu bila kudhibitisha?

Kuhani ni mtumishi wa Mungu...

Tena wa Kweli..

Wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
najua kuzipima roho, na kuhani wenu ni zao la nabii wa uongo aliyefukuziwa congo, ni pandikizi la shetani kabisa kabisa. kuna siku mtakuja kustuka ila mtakuwa mmeshachelewa. mtafuteni Mungu wa kweli, hao mnaowatafuta wamepandikizwa na shetani ili mpotezee muda hapo msimwone Mungu hadi mtakapochukuliwa maisha yenu mwenda motoni bila hata kuokoka kwa kweli. Mungu awasaidie.
 
Sio kweli, hizo ni story tu...

Niambie Roho Mtakatifu amekwambiaje kuhusu Kuhani
 
huyu mchawi na nabii wa uongo moto wake utakuwa mkubwa sana. ndugu zangu kuweni makini sana na hawa manabii.

Alikulogea nani
Hebu fafanua kuhusu hicho unachoita uchawi wake 😎
 

Hizo story za kijiweni ndio zinakudanganya hivyoo
Hebu thibitisha ushetani wake hapa ili tujiridhishe

Vinginevyo Wacha kuhemka
 
Hizo story za kijiweni ndio zinakudanganya hivyoo
Hebu thibitisha ushetani wake hapa ili tujiridhishe

Vinginevyo Wacha kuhemka
naona misukule mmetoka wengi, ni suala la muda tu, hata Mackenzie alikuwa anatetewa hivyo hivyo, ila sasaivi alichofanya mnakijua. huyo kuhani wenu ni mtoto wa yesu wa mkombo, nabii wa uongo toka congo, yeye naye yote anafundisha hayatoki kwa mungu, yanatoka kwa yule adui, lusifa aliyejivika vazi la kondoo ila ndani ni mbwa mwitu anayewapotezea watu muda wasiokoke washinde hapo wakihangaikaaa and at the end of the day wasiupate wokovu wa kweli. this is real. mtafunguka lini?
 

Tulia shindano zikuingie
 
Kuna Mwingine anatoka Buz Kwa Lulenge aiseee yule Jamaa ni Msanii sana ,watu wanaopiga simu yaani 100% unaona kabisa ni Acting/Usanii wa Kaole.
 
Kuna Mwingine anatoka Buz Kwa Lulenge aiseee yule Jamaa ni Msanii sana ,watu wanaopiga simu yaani 100% unaona kabisa ni Acting/Usanii wa Kaole.

Simjui huyo wala sijawahi kumsikia na siwezi kumuongelea
 
Simjui huyo wala sijawahi kumsikia na siwezi kumuongelea

Yupo kwenye Radio watu wanapiga simu sijakariri jina lake ila anasema yeye ni kiboko ya wachawi kanisa lake lipo Buza Kwa Lulenge anasema.

Jana kuna msikilizaji alipiga simu aombewe mgonjwa wake(alipiga simu kutoka zanzibar),huyo mgonjwa hajanyanyuka kwa miaka miwili halafu anakula kwa kutumia mipira ila alivyoombewa na huyo so called kiboko ya wachawi yule dada aliyepiga simu alisema ndugu yake ameweza kunyanyuka na akanywa maji fresh bila mipira (Kulikuwa na series of events hapo za kaole(acting) kuanzia kuombewa mpaka kunyanyuka)
 
Tulia shindano zikuingie
sindano gani sasa, hivi unafikiri wanatusumbua hawa? mbona tunawajua, yaani pepo anisumbue? wafuasi wake ninyhi ndio misukule mtakuja kufa kama alivyoua watu wake Mackenzie kule kenya. huyo jamaa ni nabii wa uongo, plus mwamposa, plus elisha mumewe chibalonza, plus peter nyaga. nyoote mnasubiri moto wa milele pamoja na shetani, ama la muokoke na muache utapeli.
 



Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY

Cancer

View attachment 2124268

Baada ya siku2
View attachment 2124312


Baada ya miezi 2

View attachment 2147561




Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo



Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.

Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa

Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika

Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi











Kwanini tunaongea maneno mengi ya kukataa bila kusema hayo anaayofanya yapo au hayapo?

Turudi kwenye maada, tuje na shuhuda kwamba yanayotendeka pale ni ya uongo au ni ya ukweli kwa maslahi makubwa ya umma




Umesema "Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;" mimi nitakuuliza je, kina Ibrahimu, Musa, Yakobo walipewaga vyeo vyao na nani

Nimepata video ya Kuhani Musa akielezea historia yake kwa ufupi sana



Kuhusu hilo la kuandamana kwenda mortuary na kiongozi wa dini ili akafufue wafu nalo ulifikirie vizuri.
Habari za miujiza ya kufufua wafu ipo tangu enzi za manabii na Yesu Kristo mwenyewe lakini sio kila mtu anayekufa alifufuliwa

Nimesikiliza baadhi ya shuhuda za watu kufufuka sikuona popote pale ambapo amesema anataka kuwafufua; waliofikwa na hayo matukio ndio wamerudi kupaza sauti ya ufufuo





Sijawahi kusikia hilo la kuwako na kiingilio au la kutoa pesa ili watu waponywe. Labda mama kubwa na wengine hao walioshuhudia hapo juu au ndugu na jamaa zao watupatie ukweli wa hili ili tumjue Kuhani Musa zaidi







GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?
[/QUOTE]
Ni yeye!
 

Una hasira hadi unaishi kuropoka, basi jifunze kuongea facts
 
Ni yeye!
[/QUOTE]

💥💥💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…