PreGE2025 Kuheshimika na kukubalika kwa Rais Samia mbele ya umma kutategemea pia na namna atakavyomtreat Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu.

Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana uchungu wa kweli wa Taifa hili.

Katika blunders kubwa ambazo rais Samia alizifanya punde tu baada ya kuwa rais ni kumkamata Mbowe, hiki kitu kilimshusha sana Samia kisiasa.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Sasa kwa sasa Lissu ana mtaji mkubwa wa kisiasa, Iwapo Samia ataamua kutumia ubabe kwa Lissu itamharibia sana taswira yake, kuaminika kwake mbele ya umma na hata akishinda uchaguzi wa mwaka 2025 (Kitu ambacho ni obvious kutokana na sheria mbovu na tume isiyo huru) atapata shida ya imani ya wananchi.

Cha msingi hapa akubali tu kuzitekeleza zile 4R zake, ambapo R moja wapo kati ya hizo ni REFORMS. Kitu ambacho Lissu anakipigania.

Kilichotokea leo huko Mbinga cha Polisi kuwapiga mabomu wananchi ndo kwanza kinawathibitishia wananchi kuwa anachosema Lissu kuhusu mifumo yetu ya haki za kisiasa ni kweli, na inathibisha kuwa NO REFORMS NO ELECTION ni ajenda yenye mashiko makubwa sana.
 
It's tragic and frightening when the head of state lacks discernment. Unable to comprehend the obvious.​
 
.
 
Attachments

  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 34
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 36
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 34
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 37
  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 34
  • IMG-20250405-WA0011.jpg
    IMG-20250405-WA0011.jpg
    69.2 KB · Views: 40
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 34
Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu.

Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana uchungu wa kweli wa Taifa hili.

Katika blunders kubwa ambazo rais Samia alizifanya punde tu baada ya kuwa rais ni kumkamata Mbowe, hiki kitu kilimshusha sana Samia kisiasa.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Sasa kwa sasa Lissu ana mtaji mkubwa wa kisiasa, Iwapo Samia ataamua kutumia ubabe kwa Lissu itamharibia sana taswira yake, kuaminika kwake mbele ya umma na hata akishinda uchaguzi wa mwaka 2025 (Kitu ambacho ni obvious kutokana na sheria mbovu na tume isiyo huru) atapata shida ya imani ya wananchi.

Cha msingi hapa akubali tu kuzitekeleza zile 4R zake, ambapo R moja wapo kati ya hizo ni REFORMS. Kitu ambacho Lissu anakipigania.

Kilichotokea leo huko Mbinga cha Polisi kuwapiga mabomu wananchi ndo kwanza kinawathibitishia wananchi kuwa anachosema Lissu kuhusu mifumo yetu ya haki za kisiasa ni kweli, na inathibisha kuwa NO REFORMS NO ELECTION ni ajenda yenye mashiko makubwa sana.
Gentleman,
hakuna haja,
wala hakuna sababu hata moja kwa serikali sikuvu ya CCM, kubabaika na muhalifu, kibaraka, kibaka au tapeli wa kisiasa wa aina yeyote ikiwa ni pamoja na uliemtaja.

Kwanza,
The gentleman is useless and completely nonsense in the country.
Lakin pili,
Lazima kujua kwamba Serikali iko kazini kwajili ya kuwatumikia wananchi na watanzania wote, na sio kubabaika na bandits wa siasa. Hao wamalizane na vyombo vya ulinzi na usalama kulingana na uhalifu wao.

Criminals suspects must be in castody and political bandits like lisu must be in jail 🐒
 
Kwamba ataheshika kisa lissu tuu, hao wengine waliowahi kushikwa/kuuawa walikuwa mbuzi au?

Yale yale, ajali ikiua mtu maarufu na asiye maarufu, bc umati wote wanamzungumzia yule maarufu utadhani huyo mwngn n mbuzi
 
SINA cha kusema
 
Nani anamheshimu huyo Mama? Namchukia mno na ninamuombea mabaya kila siku.
 
Nchi inakuwa na Raisi, Kwa sasa Raisi ni Samia.
Ndio kiongozi mkuu namba mmoja wa Jamhuri ya Tanzania. Unapo mdhalilisha Samia sio tu unamdhalisha mama yetu bali unakasifu mamlaka au taasisi ya uraisi ni kinyume cha katiba ya nchi hii.
Huyo Lissu ana mapungufu makubwa,wakati wa Mjomba Magu alikuwa kifadulo tu. Alikuwa mwoga tena wakupindukia.
Sasa mama yetu kaleta 4R kakuondolea shida sasa unajifanya hamnazo.Kumbe your compromised.
Mrema wa Chadema anamuona Lissu ni dikteta uchwara,msaka tonge,mtu baki, maamuma,kiselela anayeta kula bila kunawa.
Tanzania sio DRC.
Lissu tafuta kazi nyingine.
 
Kwamba ataheshika kisa lissu tuu, hao wengine waliowahi kushikwa/kuuawa walikuwa mbuzi au?

Yale yale, ajali ikiua mtu maarufu na asiye maarufu, bc umati wote wanamzungumzia yule maarufu utadhani huyo mwngn n mbuzi
Sasa unataka wewe ufananishwe na Lisu. Lisu anapigania maisha ya vizazi vyote vya Tanzania. Wewe unapigia njaa yako
Ni mafuta na maji
 
Sawa, bc wote tufe abaki lissu pekee yake mana yeye ndo mwenye thamani kuliko akina mzee kibao na wengineo.
 
Kwa kifupi hiyo ndio No Reforms No election
Tunataka viongozi watakao jali maisha ya watanzania wote. Lisu amejijenga na kuaminika na uma ndio maana hata kukamatwa kwake kila mtu anajadili.
No Reforms No election ni mkakati wa kuhakikisha viongozi wetu wanajali na kuthamini maisha ya watanzania wote bila kujali umaarufu wake
 
Lissu is not a noble man,Lissu ni msaka tonge kama wengine.
Anatafuta WAJINGA NDIO WALIWAO SYNDROME.
Kwa hivi sasa nchini hakuna mwanasiasa anayekubalika, kueleweka na kupendwa kama Lissu.

Hii ni kwa sababu Lissu ni mkweli, anamaanisha mabadiliko, hana uchu wala tamaa ya vyeo na mali bali ana uchungu wa kweli wa Taifa hili.

Katika blunders kubwa ambazo rais Samia alizifanya punde tu baada ya kuwa rais ni kumkamata Mbowe, hiki kitu kilimshusha sana Samia kisiasa.

Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Sasa kwa sasa Lissu ana mtaji mkubwa wa kisiasa, Iwapo Samia ataamua kutumia ubabe kwa Lissu itamharibia sana taswira yake, kuaminika kwake mbele ya umma na hata akishinda uchaguzi wa mwaka 2025 (Kitu ambacho ni obvious kutokana na sheria mbovu na tume isiyo huru) atapata shida ya imani ya wananchi.

Cha msingi hapa akubali tu kuzitekeleza zile 4R zake, ambapo R moja wapo kati ya hizo ni REFORMS. Kitu ambacho Lissu anakipigania.

Kilichotokea leo huko Mbinga cha Polisi kuwapiga mabomu wananchi ndo kwanza kinawathibitishia wananchi kuwa anachosema Lissu kuhusu mifumo yetu ya haki za kisiasa ni kweli, na inathibisha kuwa NO REFORMS NO ELECTION ni ajenda yenye mashiko makubwa sana.
A
 
Nchi inakuwa na Raisi, Kwa sasa Raisi ni Samia.
Ndio kiongozi mkuu namba mmoja wa Jamhuri ya Tanzania. Unapo mdhalilisha Samia sio tu unamdhalisha mama yetu bali unakasifu mamlaka au taasisi ya uraisi ni kinyume cha katiba ya nchi hii.
Huyo Lissu ana mapungufu makubwa,wakati wa Mjomba Magu alikuwa kifadulo tu. Alikuwa mwoga tena wakupindukia.
Sasa mama yetu kaleta 4R kakuondolea shida sasa unajifanya hamnazo.Kumbe your compromised.
Mrema wa Chadema anamuona Lissu ni dikteta uchwara,msaka tonge,mtu baki, maamuma,kiselela anayeta kula bila kunawa.
Tanzania sio DRC.
Lissu tafuta kazi nyingine.
🤔
 
Gentleman,
hakuna haja,
wala hakuna sababu hata moja kwa serikali sikuvu ya CCM, kubabaika na muhalifu, kibaraka, kibaka au tapeli wa kisiasa wa aina yeyote ikiwa ni pamoja na uliemtaja.

Kwanza,
The gentleman is useless and completely nonsense in the country.
Lakin pili,
Lazima kujua kwamba Serikali iko kazini kwajili ya kuwatumikia wananchi na watanzania wote, na sio kubabaika na bandits wa siasa. Hao wamalizane na vyombo vya ulinzi na usalama kulingana na uhalifu wao.

Criminals suspects must be in castody and political bandits like lisu must be in jail 🐒

Shetani jingine hili hapa. Hakika kwa jina la aliye Mkuu na muweza wa yote, kwa sababu ya kuwa na roho ya shetani, siku si nyingi, maisha yako yatajaa majuto, na ndipo utakapojua kuwa madaraka na pesa ya dhuluma ulipwayo, si chochote wala si lolote.
 
Back
Top Bottom