PreGE2025 Kuheshimika na kukubalika kwa Rais Samia mbele ya umma kutategemea pia na namna atakavyomtreat Lissu

PreGE2025 Kuheshimika na kukubalika kwa Rais Samia mbele ya umma kutategemea pia na namna atakavyomtreat Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe ndiyo unabwabwaja wananchi wa wapi unawasemea? Hakuna mwananchi mwenye Akili Timamu atakubaliana na Udikiteta wenu wa sasa kwa kuwatumia Polisiccm kuonea watu kuwabambikia kesi haramu za kishetani, malofa mafala chawa wajinga jinga nyie wote mmekalia kushabikia ushetani wa Polisiccm, malipo na hapa hapa Duniani, hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata wewe mbweha shetani mkubwa utafanya mabaya wee lakini ipo siku utakufa tu
calm down bila mchecheto gentleman,

wananchi na waTanzani wote kwa ujumla wako kwenye maandalizi ya mwisho katika kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania Oct.2025, na kuamua mustakabali wa taifa lao,

hayupo wa kubabaika na waropokaji, matapeli na vibaka wa siasa nchini wa kubeba wananchi ufala. Wajinga waliisha Tanzania gentleman :BASED:
 
Who are you?
Kwa hyo lissu ndio icon ya Tanzania un touchable kama vile mtume Muhammad nanyesu so all soul of Tanzanian zipo kwake kwa hvo anae treat negative amelaaniwa hv huko shule mlisoma ili mjua kuandika ujinga unajua scope yantanzania na watu wake na diversity yake hakuna mtu muhimu nchi hii kuna watu hawajui lissu ni nini mpk unandika hapa
Mtu anayedai watu kutekwa na kupotezwa ni "drama", unategemea ana akili ya kuelewa hili andiko.!?
 
CCM bila kuiba kura hawana dola, Samia analijua hilo na ndiyo maana hataki kusikia kitu kinaitwa Reforms.
 
Sasa unataka wewe ufananishwe na Lisu. Lisu anapigania maisha ya vizazi vyote vya Tanzania. Wewe unapigia njaa yako
Ni mafuta na maji
LISSU ANAVUNJA SHERIA KWA SABABU YA MASLAHI YAKE... WAHAINI WOTE MWAKA HUU MUTASAKWA NA KUDHIBITIWA VILIVYO. TII SHERIA BILA SHURUTI. Nyuma ya haya yote kuna ajenda ya Udini na Ukabila, UZURI SERIKALI IPO MACHO KUWABAINI WABAGUZI WOTE, SHWAINI...
 
Kwa hyo lissu ndio icon ya Tanzania un touchable kama vile mtume Muhammad nanyesu so all soul of Tanzanian zipo kwake kwa hvo anae treat negative amelaaniwa hv huko shule mlisoma ili mjua kuandika ujinga unajua scope yantanzania na watu wake na diversity yake hakuna mtu muhimu nchi hii kuna watu hawajui lissu ni nini mpk unandika hapa
Jifunze kwanza kuandika vizuri.
 
Back
Top Bottom