Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Au buku 2 kabisaMbona nyingi sana buku tano inatosha.
Kelsea kwa uzuri ulio nao kwako ni spesho. 15k.Au buku 2 kabisa
[emoji23] aiseeKelsea kwa uzuri ulio nao kwako ni spesho. 15k.
Hawa huwa hawasikilizani kwenye vikao vyao.Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena?
Money laundryHivi nikimuhonga mwanamke halafu hiyo hela aende nayo ibadani na aitoe sadaka,inaitwaje kitaalamu?
[emoji38][emoji38][emoji38] hilo nalo neno!Hawa huwa hawasikilizani kwenye vikao vyao.
Hiyo Hela tunahongaga pasaka na Christmas tyuKikao kimechelewa, juzi nimetoka kuhonga 35,000/= ila hela inatafutwa.
Kwa kutumia katiba,anapata adhabu gani?Money laundry
Hawa wenzao wanaohonga sijui hawapo wote kwenye kikao chaoShida huwa hamsikilizani.
[emoji3] umesanuka mapemaToka tuache kusikilizana siendagi tena kwenye vikao