Kuhonga mwisho 10k

Kuhonga mwisho 10k

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala.

Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.

_95979862_10000-tanzanian-shillings.jpg
 
Kuna mwamba anakuambia akinyimwa Mbususu na demu anacho fanya anapiga puli kumvutia picha demu husika
 
Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena?
 
Hivi nikimuhonga mwanamke halafu hiyo hela aende nayo ibadani na aitoe sadaka,inaitwaje kitaalamu?
 
Back
Top Bottom