Kuhubiri dini kwenye mabasi na standi za umma nao ni uhuru wa kuabudu?

Hahaaaaa mkuu nimekutukana wapi wewe? Njoo kwa Yesu Mkuu. Njoo akutue huo mzigo wa kushare mwanamke na Baba yako[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28]
Si kama lutu alivyo share na wanawe wa kike mpka wakazaa kabisa ubaya upo wap apo?
 
Na sisi wabudha .islamu.waabudu mizimu tufanye hivo
 
Hahaaaaa mkuu nimekutukana wapi wewe? Njoo kwa Yesu Mkuu. Njoo akutue huo mzigo wa kushare mwanamke na Baba yakoπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
Ila huko juu ulikua unajibu kwa kukurupuka na mihemko na mitusi kedekede ila sio caseπŸ‘
 
Wanatekeleza haki yao ya kimsingi, ya kikatiba, ya utu (Universal Declaration of Human Rights), ya kutimiza ibada zao kama walivyoambiwa na dini zao.

Kinachotakiwa ni kuwapanga vizuri wasilete shida kwa watu wengine, mfano, kuwawekea sehemu zao wasiingilie watu njiani, kuwawekea viwango vya kelele ambazo hawatakiwi kuzidisha, na kadhalika.

Lakini, hii ni haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kuabudu, ni haki ya utu wao na sehemu ya Universal Declaration of Human Rights, wengine wanatimiza maagizo ya dini zao, ukiwanyima nafasi hiyo unakuwa umewanyima sehemu ya maagizo ya dini zao sawasawa na kumkataza mtu kwenda kanisani, kutoa zaka, kwenda msikitini au kwenda hija.

Mimi siamini katika Mungu wala dini, ila natetea haki za watu wote kuabudu dini zao wanavyotaka bila kuingiliwa na haki hii ya kuabudu ikiingiliwa, nitawatetea wanaoamini waweze kuendelea kuwa na haki hii.

Kwangu mimi, haki hii haina tofauti na haki yangu ya kutoamini Mungu wala dini, haki hizi (za kuamini na kutoamini) ni pande mbili za shilingi moja ile ile.

Naona nikiruhusu haki ya kuabudu iingiliwe, nitakuwa nimefungua mlango wa kuruhusu haki yangu ya kutoabudu iingiliwe.

Leo mkisema hawa walokole waondolewe wasihubiri barabarani, ndiyo mwanzo wa kutupangia kwamba watu wote waende kuabudu kanisa la Roman Catholic.

Waacheni wahubiri, wafanyieni regulation tu wasilete kero kwa wapita njia na jamii kwa ujumla.
 
Umesahau na wale wanaotangaza biashara zao kama vile sabuni,dawa za meno n.k
 
Kuna sehemu ambazo watu hawaendi misikitini wala makanisani lakini watu ni waaminifu kweli kweli. Kwa kifupi nchi zenye raia wanaofuata sana dini zimejaa maovu mengi na nchi zenye watu wasifuata dini kuna watu wema.
Ni kweli, mfano nchi za Scandinavia, Czech Republic, Japan na China.
 
Marekani ni nchi mojawapo yenye watu wengi sana wenye matatizo ya akili na utapeli wa kila aina. Nafikiri kwa sababu ya ukubwa wa nchi yenyewe na mchanganyiko mkubwa wa watu wa kila aina.
 
Barabarani hata ukiwa unazungumza mwenyewe na kupiga kelele hakuna atakayejali kwa sababu watu wanapita, tatizo lipo sehemu kama kwenye mabasi, stendi, hospitalini, shuleni, benki n.k
 
Kuna sehemu ambazo watu hawaendi misikitini wala makanisani lakini watu ni waaminifu kweli kweli. Kwa kifupi nchi zenye raia wanaofuata sana dini zimejaa maovu mengi na nchi zenye watu wasifuata dini kuna watu wema.
Kabisa, unakuta mtu ni mchafu ila anaenda kwenye nyumba ya ibada sana ili kuhadaa umma kuwa ni mcha Mungu.
 
Sasa wimbo kama wameloa sijui kamatia chini, mara weka nikukaze au linanipwelepweta mara una roba hizo zinafundisha nini? Inaonekana mzee una Mapepo dhahiri kabisa. Sema upo wapi tukuwekee mkono yatole hayo.
..mkuu umesahau na wimbo wa kwangwaru wa simba pale anaposrma weka mate niteleze kama nyoka pangoni.....
 
Barabarani hata ukiwa unazungumza mwenyewe na kupiga kelele hakuna atakayejali kwa sababu watu wanapita, tatizo lipo sehemu kama kwenye mabasi, stendi, hospitalini, shuleni, benki n.k
Kabisa, unakuta uko kwenye chombo Cha usafiri mtu analeta mahubiri ya dini yake, inakuwa kama Kila mtu anaamini hicho kitabu chake. Sio sawa.
 
Nyegezi Mwanza unapata Sara na neno kisha unatoa sadaka halali!
Twahitaji madhehebu mengine na dini nyingine zijumuike kwenye kazi hii ya kupinga kamali!
 
Barabarani hata ukiwa unazungumza mwenyewe na kupiga kelele hakuna atakayejali kwa sababu watu wanapita, tatizo lipo sehemu kama kwenye mabasi, stendi, hospitalini, shuleni, benki n.k
Kitu cha muhimu ni ku moderate hayo mahubiri yafanyike pale inapofaa, inapowezekana, na bila kuingilia uhuru na haki za wengine.

Kwa mfano, mlokole akitaka kutumia haki yake ya kuabudu kwenda kuhubiri ndani ya msikiti, hapo atakuwa anaingilia uhuru wa wengine.

Mlokole akitaka kwenda kuhubiri hospitalini ICU nje ya utaratibu na saa za kuona wagonjwa, kwa njia ambayo itahatarisha afya za wagonjwa, hilo ni tatizo na anaingilia haki ya mtu mwingine kuishi kwa usalama.

Kwa hiyo kitu muhimu ni kuwa regulate.

Kwa mfano, mimi sioni umuhimu wa kuhubiri kwenye basi, sehemu ambayo mtu kama hapendi mahubiri anakuwa stuck nawe for some time, kwa hivyo huko hata wakipiga ban ni sawa tu. Kwa sababu watu walewale unaweza kuwahubiria kituo cha basi, wakipenda mahubiri wakusikilize, wasipopenda wakupite tu.

Kwenye basi na mimi ninatakiwa niwe na haki ya kutosikia mahubiri au kelele zisizo za lazima.

Zaidi, watu wapate elimu na uchumi upande, watu wafanye kazi. Hawa watu wanaotumia muda mwingi kuhubiri hakuna wanacho produce hapo.

Halafu tunashangaa nchi haziendelei.
 

Injili ni kama sindano. Lazima ikuchome.
Tafuta hela nunua gari lako binafsi ili uepuke kwenda stendi na kupanda daladala[emoji28] otherwise acha watu wapige injili. Hakuna aliyewahi kufa wala kudhurika kwa kuhubiriwa.
 
Ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…