Sio tu kwenye usafiri
Unakuta upo zako dukani wanakuja masheikh wanakuita nje.
Unatoka unajua ni jambo la dharura unakuta wanakunjua kiti wanaanza kukuringania.
Ukiwaambia sawa niko tayari ila kitu cha kwanza nithibitishieni huyo Allah yupo wanaanza kutoa macho.