Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar.
Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara.
Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka kujua ni kama kuna kuwaga na watu wengi kwenye hiyo minada.
Kifupi nataka kupata picha halisi ya inavyo kuwa kwenye hiyo minada.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻