Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Hahaha ushaingia ubaridi,kama unataka kwenda kufanya hiyo biashara usitegemee Msimu wa korosho pekee itakula kwako,na sehemu sahihi yenye mzunguko wa pesa siyo tandahimba Wala Newala utajilaumu sana,Ni Bora ukafanye biashara zako ndani ya mji wa Masasi utaelewa namaanisha nini..Kama hujafanya research vizuri usikurupuke utakata Hadi nauli.Siendi