Ila kama unakusudia kufanya biashara ya chakula kama utapata eneo kweny miji iliyochangamka kama Tandahimba newala masasi upiga pesa coz kipindi hichi kila mtu anashika pesa kwahy kuna kujipongeza na tabu za shamban, ila itakubid mtaji uliochangamka coz kipind hichi kila kitu bei inakuwa juu kuanzia frem na mengineyoHabari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar.
Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara.
Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka kujua ni kama kuna kuwaga na watu wengi kwenye hiyo minada.
Kifupi nataka kupata picha halisi ya inavyo kuwa kwenye hiyo minada.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante sana mkuu kwa kunipa Mwanga. Vipi kuhusu minada ya kawaida? Kwa maana ya kwamba watu wanakuwa tayari wametoka kuuza korosho zao wanaenda kuhemea minadani?Mkuu minadani sio kuwa wanaenda watu na korosho zao wanauza hapan, ni matajiri na baadh ya wajumbe wa vyama vya msingi wanakutana wawakilishi wa matajir wanatoa bei hao wajumbe kazi yao kuitikia kama tumeikubali au hatuitaki sio kama inavyokuwa minada ya sehem zingine kuwa watu wanajazana kila mtu anauza chake hapan, inakuwa katika ukumbi maalumu kama unavyoon kwenye video hapo chini.
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻Hongera sana kila la heri.
Hiyo ipo mingi na inafanyika kila siku(yaan kila siku wanapita miji tofauti) hawana mapumziko yaan wewe ndio uamue kupumzika na kipind hchi wanauza sana kwasabab watu wana uhakika wa fedha kwahy katika hiyo utachagua wewe unaenda mnada wa upande ganiAsante sana mkuu kwa kunipa Mwanga. Vipi kuhusu minada ya kawaida? Kwa maana ya kwamba watu wanakuwa tayari wametoka kuuza korosho zao wanaenda kuhemea minadani?
Asante sana mkuu samahani kwa usumbufu, unaweza kunitajia ratiba za majina ya minada kwa hapo Mtwara mjini. Kwa mfano Jumatatu mnada unakuwa sehemu gani. Ninakuja huko jumatatu ijayo Insha'allahHiyo ipo mingi na inafanyika kila siku(yaan kila siku wanapita miji tofauti) hawana mapumziko yaan wewe ndio uamue kupumzika na kipind hchi wanauza sana kwasabab watu wana uhakika wa fedha kwahy katika hiyo utachagua wewe unaenda mnada wa upande gani
Kwasasa sikumbuki coz nimetoka muda kidogo ila huenda wakaja wadau kwenye huu uzi wakakupa muongozo zaid wakina LIKUDAsante sana mkuu samahani kwa usumbufu, unaweza kunitajia ratiba za majina ya minada kwa hapo Mtwara mjini. Kwa mfano Jumatatu mnada unakuwa sehemu gani. Ninakuja huko jumatatu ijayo Insha'allah
Siwezi kuandika maelezo mengi ila waeleze kuwa ukisikia msimu wa korosho kwa mkoa wa mtwara sio mtwara mjini ila ni 1 tandahimba 2 newala 3 masasiKwasasa sikumbuki coz nimetoka muda kidogo ila huenda wakaja wadau kwenye huu uzi wakakupa muongozo zaid wakina LIKUD
Kwasasa sikumbuki coz nimetoka muda kidogo ila huenda wakaja wadau kwenye huu uzi wakakupa muongozo zaid wakina LIKUD
Asante sana mkuu ubarikiwe sana so boom linakuwa kwenye hizo wilaya 3 tu au hadi Mtwara mjini pia kunakuwa ma mzunguko mkubwa wa pesa?Siwezi kuandika maelezo mengi ila waeleze kuwa ukisikia msimu wa korosho kwa mkoa wa mtwara sio mtwara mjini ila ni 1 tandahimba 2 newala 3 masasi
Nimekutajia hizo wilaya 3 kwasababu ndiko zinakolimwa hizo korosho na ndiko kunakuwa na mzunguko mkubwa .....korosho zimeànza tayari na ijumaa ijayo ni mnada wa 4Asante sana mkuu ubarikiwe sana so boom linakuwa kwenye hizo wilaya 3 tu au hadi Mtwara mjini pia kunakuwa ma mzunguko mkubwa wa pesa?
Kingine, je tayari msimu wa korosho umeanza? Na unaisha lini?
Asante ubarikiweNimekutajia hizo wilaya 3 kwasababu ndiko zinakolimwa hizo korosho na ndiko kunakuwa na mzunguko mkubwa .....korosho zimeànza tayari na ijumaa ijayo ni mnada wa 4
Toka mwezi wa 9 watu walishaanza kula pesa za kangomba hapo mpka mwezi wa 12 msimu unaishiaAsante sana mkuu ubarikiwe sana so boom linakuwa kwenye hizo wilaya 3 tu au hadi Mtwara mjini pia kunakuwa ma mzunguko mkubwa wa pesa?
Kingine, je tayari msimu wa korosho umeanza? Na unaisha lini?
Asante sana mkuu nitakuja Mtwara next week.Toka mwezi wa 9 watu walishaanza kula pesa za kangomba hapo mpka mwezi wa 12 msimu unaishia
Kama sio kipepeo, njoo inbox, narudia tena kama sio kipepeoAsante sana mkuu ubarikiwe sana so boom linakuwa kwenye hizo wilaya 3 tu au hadi Mtwara mjini pia kunakuwa ma mzunguko mkubwa wa pesa?
Kingine, je tayari msimu wa korosho umeanza? Na unaisha lini?
Usitegemee mzunguko wa pesa sahani ya wali nyama ni 1,500, wali kuku 3000. Na wapishi ni wengine kila moja na wateja wakeAsante sana mkuu ubarikiwe sana so boom linakuwa kwenye hizo wilaya 3 tu au hadi Mtwara mjini pia kunakuwa ma mzunguko mkubwa wa pesa?
Kingine, je tayari msimu wa korosho umeanza? Na unaisha lini?