Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Hahaha ushaingia ubaridi,kama unataka kwenda kufanya hiyo biashara usitegemee Msimu wa korosho pekee itakula kwako,na sehemu sahihi yenye mzunguko wa pesa siyo tandahimba Wala Newala utajilaumu sana,Ni Bora ukafanye biashara zako ndani ya mji wa Masasi utaelewa namaanisha nini..Kama hujafanya research vizuri usikurupuke utakata Hadi nauli.Siendi
Asante sana mkuu. Masasi mbona watu wanapasifia sana? Masasi ni bora kuliko Mtwara mjini?Hahaha ushaingia ubaridi,kama unataka kwenda kufanya hiyo biashara usitegemee Msimu wa korosho pekee itakula kwako,na sehemu sahihi yenye mzunguko wa pesa siyo tandahimba Wala Newala utajilaumu sana,Ni Bora ukafanye biashara zako ndani ya mji wa Masasi utaelewa namaanisha nini..Kama hujafanya research vizuri usikurupuke utakata Hadi nauli.
Duh hatariMtwara mjini maisha ni magumu kwa walio wengi mfano ndoo ya maji ya kunywa kutoka Ndanda inauzwa TSh. elfu 2000, maji ya mvua yenye ujazo wa mililita 1.5 huuzwa TSh. mia tano na ujazo wa mililita 500 yanauzwa TSh. 200, maji ya mvua yana thamani kuliko ya bomba kwa sababu maji ya bomba yana chumvi, maji ya dukani yanapatikana kwa ujazo wa mililita 1.5 bei=1000 na mililita 500= bei 500 ya lita moja huwezi kupata na mimi najitahidi kuyaulizia na mpaka sasa nina wiki tatu sijayaona.
Mi masasi kwenyewe sioni hata cha maana kwakweliAsante sana mkuu. Masasi mbona watu wanapasifia sana? Masasi ni bora kuliko Mtwara mjini?
Mtwara mjini pia hakuna shida ya makazi, sioni, makazi ni mengi sana, ila mzunguko wa fedha.Mi masasi kwenyewe sioni hata cha maana kwakweli
Labda makazi tu yapo mengi ila kusema maendeleo mi siyaoni au sijui kwakua napita tu
Yani masasi nikikaa miaka mi5 nikipita nakuta pako vie vile walah nachokagaš Tandahimba nilipita miaka ya 2020 niliona pamechangamkaMtwara mjini pia hakuna shida ya makazi, sioni, makazi ni mengi sana, ila mzunguko wa fedha.
Asante kwa taarifaMi masasi kwenyewe sioni hata cha maana kwakweli
Labda makazi tu yapo mengi ila kusema maendeleo mi siyaoni au sijui kwakua napita tu
Peleka nguo na yebo za watotoSiendi