mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,930
Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani? maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo
Mgonjwa yupo Mt Meru, sample zimeenda kufanyiwa uchunguzi Dar. Hapa maana yake mpaka sasa vipimo vya uhakika vipo sehemu moja nchi nzima.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Wataalamu si wanapata maelekezo kutoka kwa wanasiasa, bunge lingejadili pengine lingekuja na maazimio ambayo yangeifanya serikali iweke mifumo madhubuti ya kujikinga Kama kufunga mipaka,ukaguzi uliotukuka airport kusema kweli serikali haikuwa serious Sana zaisi ya kusalimiana kwa miguu...uyo mtz alietoka Belgium hakutakiwa kupimwa siku moja tu angewekwa chini ya uangalizi emmediately, wazungu na wachina waluendelea kuingia ivyoo tuHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?

Tunalindwa na Mungu tu hapa bongoAcha ujinga Trump aliomba hela y kupambna n ugonjwa huu baraza la Sanate n kiasi alichoomba alipewa zaidi. Labda hapa kwasababu sheria hazifuatwi. Ss bajeti y kupambna n ugonjwa huu zitatoka wp? Na bunge linapojadili serikali inapata muda wakueleza limejipanga vipi ili kulinda wananchi kupitia wawakilishi wao ambao ni wabunge
Ni mtu wa aina gani anayetetea hata ujinga??? Ni pesa kiasi gani inatosha kumfanya mtu kuwa mjinga????Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
KK ni Wuhan ndogo.Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani? maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo
Aisee..mara nyingine unaweza pita kimya kimya bila kuchangia nalo ni jambo jema.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Mkuu comment kama hii inashusha hadhi yako,,Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Kama wewe siyo ccm basi utakuwa na tatizo sehemu, ila kama ni ccm basi una haki ya kusema ulichokisemaHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Umeandika nini hapa wewe?jinga....Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Mkuu Covid -9 ni nini? Au ndiyo Coronavirus?Serikali haijatamka hadharani kwamba imetenga kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya ugonjwa wa Corona, Je sehemu walizotenga kupokea wagonjwa kuna , mask, gloves , protective clothes . Leo tunaambiwa fedha za mwenge zinapelekwa kwenya ugonjwa wa corona ,let be seriously with covid -9
Hata hapa JF wangefuta nyuzi zote zinazohusu Corona na kuwaachia wataalam wa afyaHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Wabunge wengi wa ccm ni hasara kwa taifa