Leo spika ati nae anatoa waraka kuhusu corona..Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa Chadema alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu. Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World Bank.
Leo hii Corona imefika na ghafla pesa za Mwenge zimeelekezwa huko! Bunge letu ni sehemu ya tatizo kwenye nchi yetu, specifically wabunge wa CCM.
Aisee kwa hiyo Magufuli alivoamua pesa za mwenge ziende kwenye corona yeye si mwanasiasa?Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Sikujua kama akili yako ni ndogo kiasi Hiki !Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hujaona hoja? Duh! tutapata tabu sana na hii awamu! wewe unaona ilikuwa sawa kutojadili namna ya nchi kujiandaa kukabiliana na corona badala yake ikawa muhimu kujadili suala la Zitto na World Bank? Usivyo na aibu eti unasema ni suala la wataalamu wa afya, sasa Magufuli aliyefuta mbio za mwenge ili fedha ziende kwenye corona ni mtaalamu wa afya? mnajitoa akili kupitiliza............Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Mungu saiidia huyu kichaa
maamuzi yanafanywa na wanasiasa mdogo wanguHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
TumsameheSikujua kama akili yako ni ndogo kiasi Hiki !
Rest in Peace MasaburiLeo spika ati nae anatoa waraka kuhusu corona..
Sijui viongozi na wabunge wa Ccm huwaza kwa kutumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Sijui ndo tuseme unajitoa ufahamuu... dah... yan nakutafakar adi nashindwa nkuweke kundi gani...Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Na ole wenu Chadema kiongozi impate Corona sijui kama chama kitapona.Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa Chadema alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu. Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World Bank.
Leo hii Corona imefika na ghafla pesa za Mwenge zimeelekezwa huko! Bunge letu ni sehemu ya tatizo kwenye nchi yetu, specifically wabunge wa CCM.
Ona hii nayoNa ole wenu Chadema kiongozi impate Corona sijui kama chama kitapona.
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Serikali haijatamka hadharani kwamba imetenga kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya ugonjwa wa Corona, Je sehemu walizotenga kupokea wagonjwa kuna , mask, gloves , protective clothes . Leo tunaambiwa fedha za mwenge zinapelekwa kwenya ugonjwa wa corona ,let be seriously with covid -9
kazi ya bunge ni kujadili mabeberu wanaoshirikiana na wapinzani
Kichwa chako kwakuwa ni kizito ngoja nikueleweshe.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Na ole wenu Chadema kiongozi impate Corona sijui kama chama kitapona.