Sina njaa ya pesa za bure
Wabunge WA ccm mnawahesabu ni wabunge au wanasiasa wengi wao wamekuja kutengeneza connection na kutengeneza sheria huru dhidi ya biashara na maslahi yao.
Wangekuwa wanaona mabunge mengine hasa ukiacha ya jumuiya ya madola wangegundua
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaSasa usiwalilie wabunge wa ccm walioamua kuchukua pesa za bure ...
Ni maamuzi binafsi....
the moment tukiamua kuwa wapenda mabadiliko wa kweli tutakuwa na less of jamii forum politicians na badala yake tutakuwa na real politicians bungeni wengi wao wakiwa wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa uko very low. I doubt na utimamu wako wa kufikiri mambo?Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Leo hii tumegeuka kuwa omba ombaHao wataalam wa afya wangetoa pesa kwenye fungu ipi kabla ya kujadiliwa na bunge na kupitishwa? wewe mwenyewe unajua akount ya majanga ipo epty.
Wakati mwingine mnawapa watu shida sana kuwafikiria nia yenu kwa wananchi wa Tanzania.
Tulipuuzia tukaamini tutakua salamaMgonjwa yupo Mt Meru, sample zimeenda kufanyiwa uchunguzi Dar. Hapa maana yake mpaka sasa vipimo vya uhakika vipo sehemu moja nchi nzima.
Tuna mipaka mingapi? Na je, mapambano kwa ujumla yapoje?
Hivi ni vitu ambavyo ilibidi vijadiliwe, ili hata kama itashindikana kuanza na vipimo sehemu zote, basi walau mikoa yote iliyomipakani iwe navyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii sasa laanaNinachomshukuru mungu corona huwa haichagui, na Takwimu zinaonesha wazee ndio wahanga wa huu ugonjwa ... CCM yamejaa mazee machawi nina imani lazima yatapukuchuliwa kama nzige
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Daah we ndugu jaribu kuchukua hata dakika moja kufikiria kabla ya kureply sms maana inasikitisha sana kuona reply kama hii afu unaweza kuwa msomi lakini daah nmeshangaaHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Nashangaa MTU kutumia makalio kujibu hoja badala ya kichwa!Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Alipoona tu jina Hon.Msigwa amekurupukaNadhani alijibu bila kusoma, tumsamehe tu.
Mama yako hayupo hapo karibu umwulize kuliko kuja kutuhangaisha baba zako huku?Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Duh hapana usimtukane Mama yakeMama yako hayupo hapo karibu umwulize kuliko kuja kutuhangaisha baba zako huku?
Asante mkuu! MATAGA wanakera sana!Duh hapana usimtukane Mama yake