OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari.
Wengine wanasema hata mechi za shirikisho itabidi asubiri mpaka asajiliwe na TFF kwanza wakati wa dirisha dogo.
Wanazijua vizuri kanuni za mashindano watuambie ukweli ni upi kuhusu huyu winga anayeteleza kama kambale.
Nakumbuka katika ushiriki wa makundi waliwahi kusajiliwa kina Lukosa Jr kwa ajili ya kushiriki kimataifa tu. Hawa walisajiliwaje? Au walisajiliwa na TFF pia lakini kwa ajili ya kimataifa tu?
Naomba kujuzwa