Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kumbuka kuna 5_0 msijitoe ufahamu..5_1 Bado inakupa kiwewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka kuna 5_0 msijitoe ufahamu..5_1 Bado inakupa kiwewe
Hayo mashindano mnacheza mechi haina refaSi na ww ulikua mmama jamani? Kwa sasa umekua mjane..
Una kidonda kibichiKumbuka kuna 5_0 msijitoe ufahamu..
Zile medali mnazotupigia kelele kila siku ni za kombe gani? Uto bhanaKujadili kombe la wasiojiweza ni kupoteza muda
Nyie ndo mnapagawa hamjaamini mpk leo kwamba ule wanga wenu ulifanya kazi ndo maana mnaweweseka mwaka mzima kwa matokeo yale..inaonyesha jinsi gani utopolo hawana akilli...unajadili matokeo mwaka mzima??? Na mabango juu...hahaaa nyie ni klabu ya pombe sio mpira...maana walevi ndo huwa wanajadili mambo yale yale kila sikuUna kidonda kibichi
5_1 Bado inawapagawisha
Ndo kulikufanya utambe mwezi mzima huko...au umesahau mmama mwenzetu..Hayo mashindano mnacheza mechi haina refa
Viwanja vya shule
Kona Tatu ni penalty
Kifupi makolo mmejua kutia Taifa aibu
Pole mrembo wanguNyie ndo mnapagawa hamjaamini mpk leo kwamba ule wanga wenu ulifanya kazi ndo maana mnaweweseka mwaka mzima kwa matokeo yale..inaonyesha jinsi gani utopolo hawana akilli...unajadili matokeo mwaka mzima??? Na mabango juu...hahaaa nyie ni klabu ya pombe sio mpira...maana walevi ndo huwa wanajadili mambo yale yale kila siku
View attachment 3153737
Muulize kiongozi wa Simba alisema Yale mashindano ya akina mamaNdo kulikufanya utambe mwezi mzima huko...au umesahau mmama mwenzetu..
Unaumia ww sio mimi...kwa sbb ushindi hamkuutegemea...Pole mrembo wangu
Kunywa maji mengi
Yanasaidia kuondoa sonona
Kupigwa mara nne mfululizo inauma
Tabora na AzamUnaumia ww sio mimi...kwa sbb ushindi hamkuutegemea...
Tabora 3 Uto 1
Azam 1 uto 0
Byeeeee
Wamekunywa mara mbili ikamuondoa kocha na kuhama kiwanja...Tabora na Azam
Ndo wamekunywa mara nne mfululizo?
We hunisumbui nishakupiga Sita bila hizo tano tano ni kama umelipa tuu,2012 nilikuchapa 5 bila muulize Baba yako.5_1 Bado inakupa kiwewe
Si Kiongozi wenu yule Manara au .Muulize kiongozi wa Simba alisema Yale mashindano ya akina mama
Mimi nimekunywa weweWamekunywa mara mbili ikamuondoa kocha na kuhama kiwanja...
Pole sanaWe hunisumbui nishakupiga Sita bila hizo tano tano ni kama umelipa tuu,2012 nilikuchapa 5 bila muulize Baba yako.
Nafikiri hukuwa na akili kipindi hiko
Mimi nishakufunga bao nyingiii wala sina ushamba wa mabango.Pole sana
Kidonda Bado kibichi
Fika magomeni uone bango
Next time tunamfunga huyu mpaka ahamie ZanzibarWamekunywa mara mbili ikamuondoa kocha na kuhama kiwanja...
Ulinifunga lini hizo nyingiMimi nishakufunga bao nyingiii wala sina ushamba wa mabango.
Maendeleo ni kwenda mbele sio kurudi nyuma.Bado hujajibu ile medali mliopeleka ikulu ilikuwa ya mashindano gani mpaka mbeze alipo simba sasa
Jibu kama huna mwiko nyuma
Ni 6-0 za 1977.Kumbuka kuna 5_0 msijitoe ufahamu..